Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Naomba niwe mkweli....
Leo muosha rungu, naona kabisa alivyo ishiwa pumzi. Yaani mtahini anagalagazwa utadhani yeye ndie mtahiniwa.....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huo ni mtazamo wangu tu, naomba nisipondwe mawe...[emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unakabiliana vipi Na wanaume wakware

DJ sepetu
Ktk maisha ukijua kujisimamia na kuamua uishi vipi inawezekana kabisa, Akili yako ukiisimamia vizuri mwanamme hawezi kukubaisha hata kidogo, kingine Ambacho ni rahisi Jiweke ktk nafas flan, mwanamme asiyejielewa atamsumbua mwanamke asiyejielewa pia lakini ukiwa unajisimamia vizr hata wanaume watakaokufuata ni wale wanaojisimamia pia, nafikiria ukijihedhimu na watu watakuheshimu pia
 
Mpenzi wako Wa kwanza ulimpata ukiwa Na umri gani

DJ sepetu
 
Mkuu naona Picha za Mrembo zimekuvuruga[emoji23] [emoji23]

DJ sepetu
 
Ni jambo lipi ulilowahi Fanya unahisi ukipewa second chance utalibadili

DJ sepetu
maisha ili yakamilike ni pande zote2 raha na shida pia hivyo makosa ya Leo utayarekebisha kesho na maisha yataendelea, Sioni cha kurekebisha naamini haya niliyo nayo ndiyo Maisha MUNGU alipanga niyapitie ntaendelea kupambana hadi ukamilifu wa Dahari
 
Unajivunia nini zaidi kama mwanamke

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…