swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Naweza kupata Picha nyingine tafadhali
DJ sepetu
Naweza kupata Picha nyingine tafadhali
DJ sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naweza kupata Picha nyingine tafadhali
DJ sepetu
Naweza kupata Picha nyingine tafadhali
DJ sepetu
Rudia swali hujaelewekaWapi unaona ilikosea Na ungependa ubadili story
DJ sepetu
Ktk maisha ukijua kujisimamia na kuamua uishi vipi inawezekana kabisa, Akili yako ukiisimamia vizuri mwanamme hawezi kukubaisha hata kidogo, kingine Ambacho ni rahisi Jiweke ktk nafas flan, mwanamme asiyejielewa atamsumbua mwanamke asiyejielewa pia lakini ukiwa unajisimamia vizr hata wanaume watakaokufuata ni wale wanaojisimamia pia, nafikiria ukijihedhimu na watu watakuheshimu piaUnakabiliana vipi Na wanaume wakware
DJ sepetu
Mpenzi wako Wa kwanza ulimpata ukiwa Na umri ganiKtk maisha ukijua kujisimamia na kuamua uishi vipi inawezekana kabisa, Akili yako ukiisimamia vizuri mwanamme hawezi kukubaisha hata kidogo, kingine Ambacho ni rahisi Jiweke ktk nafas flan, mwanamme asiyejielewa atamsumbua mwanamke asiyejielewa pia lakini ukiwa unajisimamia vizr hata wanaume watakaokufuata ni wale wanaojisimamia pia, nafikiria ukijihedhimu na watu watakuheshimu pia
Mkuu naona Picha za Mrembo zimekuvuruga[emoji23] [emoji23]Naomba niwe mkweli....
Leo muosha rungu, naona kabisa alivyo ishiwa pumzi. Yaani mtahini anagalagazwa utadhani yeye ndie mtahiniwa.....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huo ni mtazamo wangu tu, naomba nisipondwe mawe...[emoji134] [emoji134]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
maisha ili yakamilike ni pande zote2 raha na shida pia hivyo makosa ya Leo utayarekebisha kesho na maisha yataendelea, Sioni cha kurekebisha naamini haya niliyo nayo ndiyo Maisha MUNGU alipanga niyapitie ntaendelea kupambana hadi ukamilifu wa DahariNi jambo lipi ulilowahi Fanya unahisi ukipewa second chance utalibadili
DJ sepetu
Mkuu...
Unajivunia nini zaidi kama mwanamkemaisha ili yakamilike ni pande zote2 raha na shida pia hivyo makosa ya Leo utayarekebisha kesho na maisha yataendelea, Sioni cha kurekebisha naamini haya niliyo nayo ndiyo Maisha MUNGU alipanga niyapitie ntaendelea kupambana hadi ukamilifu wa Dahari
nilikuwa drs la7 Nilikuwa na miaka kama 15 mbaya zaidi alikuwa teacher wangu, sikuoenjoy chochote coz kutolewa bikira siyo mchezo atiMpenzi wako Wa kwanza ulimpata ukiwa Na umri gani
DJ sepetu
Ruksa[emoji1]Mkuu...
Naomba ruhksa niichukue hii picha ili niifanyie maombi usiku huu, kwaajili ya kutuma maombi ya posa hapo kesho tafadhali.....[emoji45] [emoji45]
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu
Najivunia kuwa mwanamke, ninayeweza kujisimamia na kuendesha maisha yangu bila kumpiga MTU mzinga wala kuwa mzigo kwa MTU mwingineUnajivunia nini zaidi kama mwanamke
DJ sepetu
Maumivu makali sana ati ila baadae nikazoea tu na kujiona kama nilikuwa mshamba tuKwani ilikuaje wakati Wa kutolewa
DJ sepetu