Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni changamoto tu za ulimwenguPole sana kwanini ilikuwa hivyo
DJ sepetu
Mkuu kanyaga twende, sisi tunafuatiliaWatu wengine mkuu hawajitambui
DJ sepetu
yamenifunza kuwa jasili na kujiamin naweza mwenyewe bila kumtegemea MTUMaisha ya ukiwa yamekufunza nini maisha ni
Hasa kukosa sapport ya wazazi
DJ sepetu
Nilikuwa na ndoto za kusoma na kuja kuwa na maisha mazuri lakini ulikuwa ni utoto, nimegundua naweza pia timiza ndoto zangu hata kwa Elimu yangu hii hiiWewe ulikuwa ndoto gani je ni kwa namna gani umeifikia
DJ sepetu
Lipakue kamzuzie muosha rungu wenuMbona povu kiongozi?
Nimelelewa na Baba na Mama wa kamboUmelelewa Na nani kiuhusiano mjomba au
DJ sepetu
Utofauti kivipi?? Halafu huyo kwenye avator ni Mimi wala cyo pic ya MTU,halafu nimeona kuna MTU kaamua kuitumia bila ridhaa yangu ntamshitakikazi yako na avatar yako ni vitu viwili tofouti waweza lizungumzia hili kidogo??
27yrsHongera kwa sasa una miaka mingapi
DJ sepetu
so waweza kutuambia unafanya biashara ya aina gani mkuu??Utofauti kivipi?? Halafu huyo kwenye avator ni Mimi wala cyo pic ya MTU,halafu nimeona kuna MTU kaamua kuitumia bila ridhaa yangu ntamshitaki
Tuliza jazba ndg, mbona hata hatujuani humu aseeLipakue kamzuzie muosha rungu wenu