Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

me nataka kujua why unajiita swahiba92

sent from aifoni seveni plasi
SWAHIBA ni neno tu LA kiswahili lenye maana Jamaa wa karibu au Rafiki wa karibu, likiwa limebeba maana halisi ya maisha yangu Marafiki ndio wamefanya Leo Mimi niwe hapa,nilitoroka home nilienda kuishi kwao na Rafiki yangu, na kwa kiasi kikubwa marafiki wamekuwa msaada wangu hata humu nafurahia uwepo wenu nafarijika sana hata kama sina ndg wa kunijali ila wapo marafiki wanaosimama zaidi ya ndg, 1992 Mwanzo wa siasa za vyama vingi TZ, napenda pia siasa ndo sababu ya hiyo 92 kuwa hapo
 
Kwa kweli Mimi Huwa Nina sifa 1 pekee, mwanamme mwenye Hofu ya MUNGU ndani Yake, ndo ananifaa coz naamini mengine yote yamo ndani ya hiyo sifa kuu1
Saa sita tutalala tutapumzika

DJ sepetu
 
[color=lengo LA hii interview ni nini hasa?? Picha hizo 2 nilitaka kukata tu ngebe za kwamba avatar yangu natumia picha za MTU, ila wewe kuanza kuniomba picha ni kutoka nje ya utaratibu mkuu au umepagawa?? Coz me nilijua interview hii ni kubadilishana uzoefu wa maisha na kufuarahi tu pa1 au kuna jingine??[/color]
Mbona lile ombi langu hujanijibu jamani?
 
Ushawahi toa mimba!
Unachukuliaje suala hili

DJ sepetu
Kutoa mimba ni chukizo mbele za MUNGU sijawahi kutoa mimba na kwa nini upate mimba bila mpangilio kama huna Akili timamu??? MUNGU alipomuumba mwanadamu Alimpatia Akili zaidi ya wanyama wengine kupambanua kati ya jema na Baya, Kupata mimba bila mpangilio huo ndo nauita uzembe wa hali ya juu sana na kutokujitambua unataka nini ktk maisha, mtoto ni mbaraka hapaswi kuja Dunani na kujuta kwa nini alizaliwa, na niwashauri wadada wanaotoa Mimba kwamba, Kutoa mimba hakukufanyi kuendelea kuitwa Binti Bali Kuitwa Mama wa watoto waliokufa
 
Somo tosha
Kesho itabidi tuendelee tena
Watu wenye tabia gani hukuchefua

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom