britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
SanaNaona Leo ndugu yetu upo kwenye baridi Kali Sana Hadi vidole vinatetemeka
Yeye mwenyewe amehamaki anakimbia kama swalaMkuu,
Tulia basi uandike kwa utulivu ili tuelewe unachomaanisha
Kisa hichi kinatufundisha nini?Swala alionekana anakimbia kama kichaa, tembo akamuuliza "vipi ndugu yangu mbona unakimbia kama una kichaa?" swala akajibu kwamba "mbuzi wote waliopo porini wanakamatwa",
Tembo akashangaa na kuuliza lakini wewe sio mbuzi ni swala.? Swala akamwambia kwa mfumo wetu itanichukua miaka 10 kuwaaminisha kama mimi ni swala na sio mbuzi, tembo nae ikabidi aungane nae mbiombio
Britanicca
Tembo na yeye akaogopa kukamatwa?πSwala alionekana anakimbia kama kichaa, tembo akamuuliza "vipi ndugu yangu mbona unakimbia kama una kichaa?" swala akajibu kwamba "mbuzi wote waliopo porini wanakamatwa",
Tembo akashangaa na kuuliza lakini wewe sio mbuzi ni swala.? Swala akamwambia kwa mfumo wetu itanichukua miaka 10 kuwaaminisha kama mimi ni swala na sio mbuzi, tembo nae ikabidi aungane nae mbiombio
Britanicca
Mkuu,
Huelewi nini sasa hapo unataka kutafuniwa kila kitu.
Tulia basi uandike kwa utulivu ili tuelewe unachomaanisha
Hii ni kali!! Hebu fafanua!Swala alionekana anakimbia kama kichaa, tembo akamuuliza "vipi ndugu yangu mbona unakimbia kama una kichaa?" swala akajibu kwamba "mbuzi wote waliopo porini wanakamatwa",
Tembo akashangaa na kuuliza lakini wewe sio mbuzi ni swala.? Swala akamwambia kwa mfumo wetu itanichukua miaka 10 kuwaaminisha kama mimi ni swala na sio mbuzi, tembo nae ikabidi aungane nae mbiombio
Britanicca
ok.πSwala alionekana anakimbia kama kichaa, tembo akamuuliza "vipi ndugu yangu mbona unakimbia kama una kichaa?" swala akajibu kwamba "mbuzi wote waliopo porini wanakamatwa",
Tembo akashangaa na kuuliza lakini wewe sio mbuzi ni swala.? Swala akamwambia kwa mfumo wetu itanichukua miaka 10 kuwaaminisha kama mimi ni swala na sio mbuzi, tembo nae ikabidi aungane nae mbiombio
Britanicca
ok.π
mie naona wanatishana na kupotoshana tu,Wanapambana mkuu wanaharakati hahahaha