🤣Code nyepesi hii...
Yuda alilalamika Kwa namba 1 kuhusu hali mbaya ilivyo nchini eg. Utekaji, wizi, rushwa, uonevu, kutengwa kimataifa etc
Namba1 anajibu kuwa wewe sio hao wanaoonewa, wewe ni mwenzetu mwisho wa siku namba1 nae anaamua kuona swala yuko sahihi ila hana tena control ya mambo yalivyo sasa.
Anaishi maisha ya km digidigi, leo uku kesho kule, hajui nani adui nani rafiki.