Swala alionekana anakimbia Kama kichaa!! Tembo akahamaki

Swala alionekana anakimbia Kama kichaa!! Tembo akahamaki

Hii Kama 3mzuka kushinda mpaka mkurugenzi anakujua kwako #britanicca#
 
Swala alionekana anakimbia kama kichaa, tembo akamuuliza "vipi ndugu yangu mbona unakimbia kama una kichaa?" swala akajibu kwamba "mbuzi wote waliopo porini wanakamatwa",

Tembo akashangaa na kuuliza lakini wewe sio mbuzi ni swala.? Swala akamwambia kwa mfumo wetu itanichukua miaka 10 kuwaaminisha kama mimi ni swala na sio mbuzi, tembo nae ikabidi aungane nae mbiombio

Britanicca
  • Swala = raia au mtu ambaye mfumo unaweza kumtilia shaka.
  • Mbuzi = kundi linalotafutwa na mamlaka.
  • Tembo = mtu mwenye nguvu/nafasi lakini anayegundua kuwa hata yeye hawezi kuwa salama kabisa mbele ya mfumo.
KWA LUGHA RAIS 'HAKUNA ALIYE SALAMA KATIKA MSITU HUU WA JAMHURI!!'
 
mie naona wanatishana na kupotoshana tu,
na kisha kwakujistukia wanatimua mbio kiholela kwa hofu zao useless tu msituni, wanasahau kwamba wahadzabe Nchabaah na ndugu yake Dudukhweh wanawasubiri kwa hamu huko huko msituni 🐒
HATA WEWE WAWEZA USIWE SALAMA KATIKA MSITU HUU WA JAMHURI
 
HATA WEWE WAWEZA USIWE SALAMA KATIKA MSITU HUU WA JAMHURI
Gentleman,
binafsi niko salama 100%
na bilashaka yoyote ile hata wadau wote wa JF wako salama pia, na ndio maana tunajadiliana kwa uhuru kabisa humu jukwaani.

hakuna anamuuliza mwenzake kwamba wewe ni swala, mbuzi au tembo 🐒
 
Pamoja na kusoma kote comment sijaambulia kitu.
1. Mbuzi ni nani?
2. Swala ni nani?
3. Tembo ni nani?
5. Anayekamata Swala ni nani?
Tembo atakuwa ni mkubwa kuliko wote.

Swali gumu ni kuhusu hao wakamataji ambao hata tembo naye alikubaliana na swala kwamba wana nguvu kubwa hadi kumuogopesha tembo mwenyewe.

Pamoja na kwamba EN alikuwa kwenye nafasi kubwa kumkaribia tembo, bado sidhani kama hao wakamataji ni wa hapa Malawi.

Wa kumkamata tembo kwenye msitu wa Malawi ni nani?

Ngoja tuone, tutaelewana tu.😀
 
Gentleman,
binafsi niko salama 100%
na bilashaka yoyote ile hata wadau wote wa JF wako salama pia, na ndio maana tunajadiliana kwa uhuru kabisa humu jukwaani.

hakuna anamuuliza mwenzake kwamba wewe ni swala, mbuzi au tembo 🐒
Sheikh Mwaipopo mtu ambaye ana jeshi lake binafsi la ulinzi ila bado anatishiwa usalama wake.
 
Mpaka leo code imekosa wa kuifungua
Pengine kisa hiki kinawahusu marope na kiongozi wa nyumba kumi
 
Sheikh Mwaipopo mtu ambaye ana jeshi lake binafsi la ulinzi ila bado anatishiwa usalama wake.
kuna chama fulani cha siasa kina wanachama makamanda watupu gentleman na wanararuanaga wenyewe kwa wenyewe katika kila uchaguzi wa chama chao ukifika 🐒
 
Swala alionekana anakimbia kama kichaa, tembo akamuuliza "vipi ndugu yangu mbona unakimbia kama una kichaa?" swala akajibu kwamba "mbuzi wote waliopo porini wanakamatwa",

Tembo akashangaa na kuuliza lakini wewe sio mbuzi ni swala.? Swala akamwambia kwa mfumo wetu itanichukua miaka 10 kuwaaminisha kama mimi ni swala na sio mbuzi, tembo nae ikabidi aungane nae mbiombio

Britanicca
Kama tembo the big 5 katimua mbio 😂😂😂😂😂 wtf 🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
kuna chama fulani cha siasa kina wanachama makamanda watupu gentleman na wanararuanaga wenyewe kwa wenyewe katika kila uchaguzi wa chama chao ukifika 🐒
Lawama kwa jeshi la polisi kuruhusu hilo.
 
Back
Top Bottom