ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Karia ni Mbumbumbu kingdomTFF wanaingiliwa na wanasiasa, tena yupo mmoja ndie mjuaji zaidi ya wote, TFF wamezoea kuingiliwa na wanasiasa mara nyingi, ndio maana hata maamuzi ya ile kesi ya Manara na Hersi bado kimya mpaka leo, tuna shirikisho la mpira wa miguu la kihuni sana.