Swala la Feitoto Bado Kuna Giza Nene. Kipi kipo nyuma ya TFF mpaka msingi wa maamuzi kubaki gizani?

TFF wanaingiliwa na wanasiasa, tena yupo mmoja ndie mjuaji zaidi ya wote, TFF wamezoea kuingiliwa na wanasiasa mara nyingi, ndio maana hata maamuzi ya ile kesi ya Manara na Hersi bado kimya mpaka leo, tuna shirikisho la mpira wa miguu la kihuni sana.
Karia ni Mbumbumbu kingdom
 
TFF wanaingiliwa na wanasiasa, tena yupo mmoja ndie mjuaji zaidi ya wote, TFF wamezoea kuingiliwa na wanasiasa mara nyingi, ndio maana hata maamuzi ya ile kesi ya Manara na Hersi bado kimya mpaka leo, tuna shirikisho la mpira wa miguu la kihuni sana.
Ila kwa suala la Morrison hapo walikua sawa?
 
TFF wanaingiliwa na wanasiasa, tena yupo mmoja ndie mjuaji zaidi ya wote, TFF wamezoea kuingiliwa na wanasiasa mara nyingi, ndio maana hata maamuzi ya ile kesi ya Manara na Hersi bado kimya mpaka leo, tuna shirikisho la mpira wa miguu la kihuni sana.
Na la Kabwili kutaka kuhongwa Vits, mpaka TAKUKURU wameingia ubaridi. Chezea wanasiasa wewe enh.
 
Wale walioitwa hilo jina, walikuwa ni mashabiki wachache sana! Na kwa taarifa yako hawawakilishi mamilioni ya mashabiki wa Yanga waliojaliwa kila aina ya busara, hekima, na uvumilivu.

Vipi sasa tukija kwa upande wenu! Rage aliwaita mbumbumbu kwenye mkutano wenu wa kujadili masuala ya timu yenu! Na wakati huo alikuwa ni mwenyekiti wenu wa klabu! Ambaye mlimchagua wenyewe! Baada ya kuona mna vichwa vizito, akaamua tu awaambie ukweli.
Kocha Lucy alisema mashabiki wote wa Yanga ni Manyani.Hayo ya 'baadhi ya mashabiki' hiyo ni version yako wewe.
 
Acha maneno! Weka ushahidi hapa jukwaani tuone.

Maana ile video ya mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage, ya kuwaita nyinyi mashabiki "mbumbumbu" ipo humu jukwaani.
 
Ubaya Tff wametupa taarifa nusu nusu na sizani Kama Ni sawa.
Mbona CAF wao hutoa maamuzi yote hadharani

Kama wanasheria nguli tunategemea kuuona msingi wa maamuzi wa Tff ili tuchukue hatua staili. Tunaona kabisa hawana mpango wa kuuweka uamuzi wazi ili wakongwe wa Sheria waupitie wajue wapi Fei alikosea.

Na Kama alikosea Tff ilitakiwa imuadhibu Feitoto Kama kiulipa Yanga gharama za usumbufu wa kuendesha kesi na kuwalipa wao gharama za kesi bila kujali Yanga waliomba Nini kwani Ni dhaili wameingia gharama kushugulikia Hilo.

Lkn wamefanya maamuzi ili kumtisha siku hizi tatu ili aombe msamaha na aogope.

Nasisitiza nasubiri uamuzi kamili. Ili tuone.
Unasubiri wewe Nani?
 
"Ata" ndio nini? We darasa la 7 unajifanya nguli?
Ata = hata. Haikubaliki kwenye official writing (formal communication) tu, lakini kwenye maongezi au maandishi yasiyo rasmi (informal communication) inakubalika.
Sawa na mie = mimi
weye = wewe
sie = sisi
nyie =nyinyi
Kwa watu waliokulia maeneo ya mwambao wa bahari ya Hindi na visiwa vyake wanaelewa hii ila kwa wa kule mbali kidogo wanaweza kuona ni kinyume nyume.
 
Unataka ithibitike mara ngapi labda, kwani akuwasilisha slip za benk alizoweka izo pesa mil.112 mbele ya kamati au unawaza nini? Au kuna kamati nyingine inakaa kesho kuendelea na shauri? Ukiwa mweupe kichwani ni mweupe tu
Kijana ongeza juhudi za kutafuta maarifa
 
Feisal ata aende FIFA hawezi kushinda kesi yake dhidi ya Yanga! Feisali alifanya mambo kwa kukurupuka tu (Emotional) Sio kwa kufuata utaratibu.

Akae ajue kuwa kipengere alichokitumia kwenye mkataba wake wanacho wachezaji wote duniani wenye mikataba na team zao lakini haifanyiki kihuni kama yeye alivyofanya.
 
So kweli
 
Ni kweli hakuna mkataba unaokosa kipemgere cha ku terminate contract kwa kila upande, hiki kipemgere kwa mujibu wa FIFA lazima kiwepo kwenye mikataba ya wachezaji na ata Onyango wa Simba alikuwa mbion kukitumia kipindi hapangwi na yule kocha aliekaondoka kabla ya kuja Mgunda, sema yeye alikuwa na akili ndio maana aliwasilisha ombi katika klabu na sio kufanya maamuzi yeye kama yeye.
 
Wachezaji wanaotoka nje ya Tanzania wana akili sana. Tulikuwa tunachukua ukimya wa Onyango na kudhani ni mjinga. Ona alichofanya Simba kushinikiza aidha auzwe, akatishe mkataba au apangwe kama mkataba unavyosema. Simba wakaopt kumpanga na mgogoro ukaisha. Leo Mtanzania anayejiita mjanja anatoka nyumbani anatangaza ameshaacha kazi kwa kutokwenda kazini. Akishitakiwa kwà utoro kazini anapata watetezi eti si hataki kazi yao wamuache? Taasisi gani Mtu unachukua mshahara wa mwezi unakwenda kulipa bila kumjulisha mwajiri?
 
Wabongo wengi Mzee huwa wanapenda kutetea ujinga hata ukikosea bado watatafuta Cha kutetea.
 
Acha maneno! Weka ushahidi hapa jukwaani tuone.

Maana ile video ya mwenyekiti wenu wa zamani Ismail Aden Rage, ya kuwaita nyinyi mashabiki "mbumbumbu" ipo humu jukwaani.
Unataka niweke ushahidi wakati huo huo wewe unaleta maneno matupu! Weka hiyo Video hapa sasa hivi na siyo kuniambia "imo humu"
 
Kwani haraka ya nini mkuu, umeambiwa jumatatu mtapewa ufafanuzi wa kisheria na vifungu vya kimkataba vilivyoifanya kamati imbakize kwa waajiri wake kulingana na mkataba aliosaini, baada ya hapo ndio mtajua wenyewe mwende mnakotaka kwenda na mteja wenu
Jumatatu ndio leo, kama umepata ufafanuzi nijuze na mimi 😎
 
Unataka niweke ushahidi wakati huo huo wewe unaleta maneno matupu! Weka hiyo Video hapa sasa hivi na siyo kuniambia "imo humu"
Ngoja wataalamu wa kufukua makaburi waiweke halafu uone utakavyokuwa mdogo kama pirton. Ipo humu jukwaani kitambo tu.
 
Wakati Yanga inashindwa kesi dhidi ya Morrison TFF ilikuwa nyingine? Hao wanasiasa hawakuwepo? Nyie kwenu maamuzi yangekuwa ya haki kama Yanga ingeshindwa kesi!! Yule dogo atapotea kama ataendelea kufuata ushauri wa kijinga!! Toeni hela mmpewe mchezaji hakuna vya bure!
Mikia wote mbumbumbu badala ya kuja mezani na kuchana wallet 1B thamani ya Feikubwa alieota mapembe eti wanaleta uhuni wa kulipa ada ya usajili!

Makombe ya Yanga , kuongoza ligi na unbeaten record vinawauma sana Makolo fc!

Kweli akili ya shisha utaiona tu!
 
Kwani haraka ya nini mkuu, umeambiwa jumatatu mtapewa ufafanuzi wa kisheria na vifungu vya kimkataba vilivyoifanya kamati imbakize kwa waajiri wake kulingana na mkataba aliosaini, baada ya hapo ndio mtajua wenyewe mwende mnakotaka kwenda na mteja wenu
Jumatatu ndio hii, mbona hola?
 
Back
Top Bottom