SWALI: Alisema amempendea Machine Mbona Kakubali kuwa Mke wa 2?!

Kumbe nawe una imani kama ya kwangu, akili iligoma kabisa kuamini wale ni wana ndoaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Dogo kamyuti kama hayupo insta vile, maisha haya maigizo mengi sana!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lile zigo kiwango cha lami ujue alafu dogo changarawe πŸ˜‚ maana kama fame zigo lina fame kuliko dogo mkwanja zigo liko njema maana kwao watu wazito wale ukiingia love hakunaga kitu kama hicho
 
Umeona ee Uwoya Mtoto wa kishua sa nashangaa kujishusha vile kwa do go vepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…