Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe sio kweli mjini mtaji Mombasa njoo kwa thread yangu ya mombada
Salamu za Insta
Hahahahaha abadilishe jinaoohooo kumbe janjaro ndio kapigwa chini
Imani yako imekuponya bestsema ile ndoa na dogo sikuwahi kuiamini ...yani dogooo amiliki lile zigo 😂😂
kweli asee imeniponya 😂😂😂😂😂😂Imani yako imekuponya best
😂😂Imani yako imekuponya! Hahahaha
Kumbe nawe una imani kama ya kwangu, akili iligoma kabisa kuamini wale ni wana ndoa😂😂😂!sema ile ndoa na dogo sikuwahi kuiamini ...yani dogooo amiliki lile zigo 😂😂
😂😂😂😂 lile zigo kiwango cha lami ujue alafu dogo changarawe 😂 maana kama fame zigo lina fame kuliko dogo mkwanja zigo liko njema maana kwao watu wazito wale ukiingia love hakunaga kitu kama hichoKumbe nawe una imani kama ya kwangu, akili iligoma kabisa kuamini wale ni wana ndoa😂😂😂!
Dogo kamyuti kama hayupo insta vile, maisha haya maigizo mengi sana!
😂😂😂😂 lile zigo kiwango cha lami ujue alafu dogo changarawe 😂 maana kama fame zigo lina fame kuliko dogo mkwanja zigo liko njema maana kwao watu wazito wale ukiingia love hakunaga kitu kama hicho
Hahahaahaaa!umeniacha hoi kinoma hapa[emoji23] eti mombasa[emoji23]Hehehe sio kweli mjini mtaji Mombasa njoo kwa thread yangu ya mombada
Money Penny againMh we mwenzetu upo Bongo au umeamka Leo? !
Nenda Instagram andika Uwoya uone
Karibu mjini
Umeona ee Uwoya Mtoto wa kishua sa nashangaa kujishusha vile kwa do go vepe😂😂😂😂 lile zigo kiwango cha lami ujue alafu dogo changarawe 😂 maana kama fame zigo lina fame kuliko dogo mkwanja zigo liko njema maana kwao watu wazito wale ukiingia love hakunaga kitu kama hicho
Nenda instagramNimejaribu kuelewa nimeshindwa
Hamia RwandaDrama nyingi sana tz