Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #21
Kwa yanayo endelea nchi kwako hatuhitaji kuelezewa kuwa tatizo ni wazungu au sisi wenyewe.Yuko sahihi sana...
Na hao wazungu/ former colonialists ndio chanzo kwanini majaketi yetu hayatuenei mpaka sasa...
DuuuhKatiba mbovu inayotusumbua hivi SS na huko kipindi cha nyumba katunga yy .
He was purely dictator , even him adimit it.
Nyerere ametusaliti sana
Upuuzi wa CCM una mizizi toka kwa Nyerere ukianza na katiba na chaguzi za kipuuzi na ku focus zaidi katika kuimarisha chama kuliko kuimarisha uchumi wa nchi.Nyerere alikua sahihi kwa jibu alilotoa , hata kama alituingiza kwenye mfumo wa ujamaa ! Ila watu wote waliopita kijiti walichoachiwa ndo wametufelisha mpaka hapa ! Hebu angalia kama CCM now yaan haina mvuto hata kidogo , raia tunapangiwa hata wakishindwa uchaguzi wanalazimisha !
Ni wezi , ni wazandiki na wanajipendekeza
Hakuna anaye mlalamikia Nyerere kila kukikucha hapa nchini.Mbona dingi alitoa jibu la kitaalum kabisa.
Ni upungufu wa akili mtu kumlaumu Nyerere miaka 40 toka astaafu na miaka 25 toka afariki Dunia.
Kwamba hatima ya maendeleo na maono ya nchi hii yalikua kwa Nyerere tu, sio?
Ngozi nyeusi imelaaaniwa,wazungu wakoloni walisha jifunza haya yote,iwe ukoloni wenyewa mafanikio na madhaifu,uchawa na uzalendo uchwara ,uzalendo wa kweli manufaa,mapungufu na madhara ya vyote,sasa ngozi nyeusi tunakurupuka tunacho amini,aminushwa tunakurupuka nacho bila kujua hata kutaka kujifunza matokeo yake sii tu u tuna peperushwa na upepo wa majani,ila tunapeperushwa hata na pepeso la kope za macho,sasa sijui,kimbunga au tsunami ingekuwajeπ«Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.
Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.
Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.
Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
View attachment 3028474
Nyerere alishindwa kuanda wananchi wakutawala nao, alikua mbinafsi, mfano wa jacketi anao towa uko irrelevant nchi sio kama jacket, haya matatizo ya nchi hi na CCM yake Nyerere anawajibika kwa 70% wa koroni kwa 30% ......mpaka pale nchi itakavo pata maono mapya kuvunja legacy ya Nyerere na chama chake ndo tutaona Uhuru sahihi.Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.
Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.
Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.
Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
View attachment 3028474
Kweli hatukatai , yeye alifanya anavyoona yeye ni sahihi kwake ! Waliopokea kijiti ndo wakawa na tamaa ya madaraka !Upuuzi wa CCM una mizizi toka kwa Nyerere ukianza na katiba na chaguzi za kipuuzi na ku focus zaidi katika kuimarisha chama kuliko kuimarisha uchumi wa nchi.
If we could have been colonized for 50 more years, leadership mentality and good governance skills could have been implanted to tanzanian mental faculties.Can we quantify whether we would have been better off colonized for 30 more years?
Hahaha! Waliopewa uongozi kumbe walitamani kunufaika (waliongozwa na tamaa, mihemko) na hawakuwa na uwezo wa kuongoza wala kuendeleza, hatimaye waafrika wakakondeana, na mpaka kesho hawawezi kunenepa kifikra, hatimaye makoti hayatoshi.Yuko sahihi sana...
Na hao wazungu/ former colonialists ndio chanzo kwanini majaketi yetu hayatuenei mpaka sasa...
Sidhani! Kama mpaka sasa wanaogombea na kushindwa, wengi3wao, ni WACHAWI kupindukia na watoa rushwa.If we could have been colonized for 50 more years, leadership mentality and good governance skills could have been implanted to tanzanian mental faculties.
Mbona alijibu ki ufundi wa hali ya juu!Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.
Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.
Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.
Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
Ila kumbuka USA imewahi kutawaliwa bossYuko sahihi sana...
Na hao wazungu/ former colonialists ndio chanzo kwanini majaketi yetu hayatuenei mpaka sasa...
Me nasemaga kila siku, Nyerere is to blame kwa haya yote yanayoendelea. Mzee alikuwa na kiherehere sana. Hapa tulipo hatukustahili kuwepo kama nchi ingejengwa kwa misingi bora ya wazungu ambao by then wao walikuwa wametuzidi kwenye vingi. Kuiga mambo mazuri sio kosa.Wazungu hawa walimuuliza swali hili Nyerere lakini yeye akatoa majibu ya kisanii.
Matokeo ya hili swali tunayaona sasa baada ya miaka 60 kupitia katika mataifa yetu.
Hawa wazungu walikuwa sahihi sana kuulizia za hili swali bila shaka kuna kitu walikiona ambacho yeye Nyerere na wenzake kwa wakati huo hawakukiona.
Mfano mwengine uliohai ni Africa kusini mpira wanarudishiwa makabulu taratibu kwa aibu kubwa.
Haya ungayasema hiyo miaka hamsini iliyopita labda unge eleweka. Sasa hivi Taarifa watu wanazo.If we could have been colonized for 50 more years, leadership mentality and good governance skills could have been implanted to tanzanian mental faculties.
Umeandika kingereza gani mkuu. Au jmeishia std two kama mariooKatiba mbovu inayotusumbua hivi SS na huko kipindi cha nyumba katunga yy .
He was purely dictator , even him adimit it.
Nyerere ametusaliti sana