passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wale watoto ni sub ikitokea baba zao wamechoka mwambie ivo
Jibu la swali lako hili hapa mkuu. passion_amo1Ni watoto ambao wanaambatana na wachezaji kwa lengo maalumu inaweza kuwa ni wachezaji wa timu za watoto kwaiyo ile moment ya kuingia uwanjani iwe kama chachu ya kuwafanya waongeze juhudi nao kufikia kuwa wachezaji wa kulipwa, sometimes wanatumika kutangaza charitable communities n.k
Mkuu usicheke watoto wa sikuiz Wanaulza maswal mpk unajulza hyu unanafundshwa na nanππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Afu kwl mkuu, kama ile ya messi na dj khaled.Wenzetu wanapenda Sana michezo, kwenye soka kinacho fanyika taasisisi zinazo shughulika na mpira zika tengeneza mazingira ya ushawishi na vile vile kikawa chanzo Cha mapato.
Wale watoto wanalipiwa na wazazi ili kupata kiu ya watoto au wazazi kwa kumuona mtoto wake anaingia na timu, yaani Kuna namna mzaizi/mtoto wanahisi Hali flani kama anakwenda kuwakilisha timu aipendayo na anaonekana live.
Wenzetu wanalipia fedha nyingi ili mtoto wako aingie na zile timu akiwa ameshikwa mkono na ma staa wa timu husika.
Ata Tff wangeanzisha utaratibu uo wangepata fedha za kutosha.
Mfano mtoto shabiki wa Yanga anaingia uwanjani ameshikwa mkono na Pacome ilo ni swala mtoto anayependa soka hatolisahau kirahisi.
Ni mpango ulionanzishwa na UNICEF na FIFA kwa pamoja kuwafanya watoto wawe karibu na wachezji wawa pendao katika tukio husika.
πππππSwali dogo hilo unalialia je ukiulizwa naswali yanayohusu gravitation force
Hili ndo jawabu sahihiWenzetu wanapenda Sana michezo, kwenye soka kinacho fanyika taasisisi zinazo shughulika na mpira zika tengeneza mazingira ya ushawishi na vile vile kikawa chanzo Cha mapato.
Wale watoto wanalipiwa na wazazi ili kupata kiu ya watoto au wazazi kwa kumuona mtoto wake anaingia na timu, yaani Kuna namna mzaizi/mtoto wanahisi Hali flani kama anakwenda kuwakilisha timu aipendayo na anaonekana live.
Wenzetu wanalipia fedha nyingi ili mtoto wako aingie na zile timu akiwa ameshikwa mkono na ma staa wa timu husika.
Ata Tff wangeanzisha utaratibu uo wangepata fedha za kutosha.
Mfano mtoto shabiki wa Yanga anaingia uwanjani ameshikwa mkono na Pacome ilo ni swala mtoto anayependa soka hatolisahau kirahisi.
Ni mpango ulionanzishwa na UNICEF na FIFA kwa pamoja kuwafanya watoto wawe karibu na wachezji wawa pendao katika tukio husika.
Nimekumbuka tangazo fulani redioni mtoto alikuwa anamuuliza baba yake namna gani ndege inapaa, cha kushangaza dingi anamwambia dogo atumie chandarua asing'atwe na mbuSwali dogo hilo unalialia je ukiulizwa naswali yanayohusu gravitation force