Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji23][emoji23][emoji23]!......Shunie ananidanganya kuwa eti bado wapo pamoja!!Mmbea wewe
akijibu nitag mkuuKwani yule ulieachana nae kipindi kile hakuwa wa makapuku forum?
ahahaaaa kwahiyo bora uende segerea??Mhh me naona niko tofaut sana na wengine ukishakua ex wewe ni bye bye hajjalishi tulichuniana tu au kuchana kwa mabaya nenda tu kwa amani na kamwe simtafti mtu anaitwa ex na siwez kujidrag low kuendeleza hizo mechi za kirafiki na ex hapana kwa kweli
Hizo sentensi mbili za mwisho umenifanya natabasam hapa
Kwa kweli, ni mtu tu kujua thamani yakoAkili hii utaikuta kwa wanawake wachache sana duniani nowadays.
Wapo bado[emoji23][emoji23][emoji23]!......Shunie ananidanganya kuwa eti bado wapo pamoja!!
Kwani yule ulieachana nae kipindi kile hakuwa wa makapuku forum?
[emoji23][emoji23][emoji23]Et Nikakae sega dance kisa kukimbia utamu wa mtu achen habar zenu za jela.
Migogoro mingi ndani ya nyumba siku hizi ni kwasababu watu wanashindwa kuelewa haya.Kwa kweli, ni mtu tu kujua thamani yako
Hawa wanaleta utani na jela hv wanapajua kwel, Nikiwaangalia ex wangu ahaa fresh tu mbona narudsha majesh[emoji23][emoji23][emoji23]
Jaman mtoa mada katupa option mbili na kila mtu amejibu anavyoweza mimi siwez kurudiana na ex na had nakubali kuachana na wewe bas jua kweli umezingua na before sjachukua hayo maamuzi ya kukuacha hua nakupa nafas kibao utanikera kama nitaona namna gan yes nitakuomba tuyamalize haijalishi hata kama kosa umefanya wewe lakini niamini nikisema basi ujue nimetosheka na imetoka moyoni na nitakuacha uende kwa amani wala sitakusumbua kamwe zaidi siwez kukublock nitakuacha tu ila kukutumia msg sjui tumekaa miaka tuanze kuwasiliana turudiane au tucheze hizo mechi aisee naona kujishusha sana thamani yanguahahaaaa kwahiyo bora uende segerea??
Hakika, ndio unakuta mtu ana ndoa yake au ana mahusiano yake mapya bado anawasiliana na ex labda wawe wana mtoto pamoja vinginevyo n ujinga tuMigogoro mingi ndani ya nyumba siku hizi ni kwasababu watu wanashindwa kuelewa haya.
Kwa kweli yani.Hakika, ndio unakuta mtu ana ndoa yake au ana mahusiano yake mapya bado anawasiliana na ex labda wawe wana mtoto pamoja vinginevyo n ujinga tu
Ndio hivyo ndugu yangu, kila mtu ana mismamo yake ya jinsi anavyojiwekea hatuwez kuwa sawa kabisa japo kuna vitu kwa akili ya kawaida tu unaona hili haliko poa unaachana naloKwa kweli yani.
jela what?? 😵 😵Jaman mtoa mada katupa option mbili na kila mtu amejibu anavyoweza mimi siwez kurudiana na ex na had nakubali kuachana na wewe bas jua kweli umezingua na before sjachukua hayo maamuzi ya kukuacha hua nakupa nafas kibao utanikera kama nitaona namna gan yes nitakuomba tuyamalize haijalishi hata kama kosa umefanya wewe lakini niamini nikisema basi ujue nimetosheka na imetoka moyoni na nitakuacha uende kwa amani wala sitakusumbua kamwe zaidi siwez kukublock nitakuacha tu ila kukutumia msg sjui tumekaa miaka tuanze kuwasiliana turudiane au tucheze hizo mechi aisee naona kujishusha sana thamani yangu
Uache umbea muoneakijibu nitag mkuu
Jela hivo hivo hahhajela what?? 😵 😵
[emoji124]Uache umbea muone