But unajua hata wewe hapo ukiwa kiongozi, kisha atokee mtu aanze kukuzushia uvumi kuwa umefoji vyeti vyako na unajua sio kweli na kamtu kenyewe ni kabwana mdogo tu ambako kanatumia mtandao vibaya, utahangaika nako au utakakabidhisha kwa vyombo vya ulinzi na usalama wadeal nako?!Bashite ni Fa Fa Fa Fa fa Fa Fa kama Lameck Madilu......Hata Jiwe naye Phd ilikuwa feki tuwe wakweli au naongea uongo ndugu zangu? Ben ndio ilimcost kuhoji Pdh ya mtu "FURANI".
Uongo wa elimu bure ni nini?Ule ulikuwa wimbo tu kama ari mpya,nguvu mpya ,kasi mpya yaani uwongo juu ya uwongo mfano angalia uwongo wa elimu bure ndio utaelewa
Kimara na mwanza kuna sheria mbili za ubomoaji.Pili sahihi kubomoa ilikuwa ni mita 60 why wamebomoa zaidi ya mita 60 wamebomoa Hadi mita 120.Sijaelewa ulichouliza..... Sahihi kwa nani nipe mfano unaopumua....!
Una ushahidi kuwa kuna mikopo?! Hizo ni tuhuma ambazo hata mimi nimezisikia ila je, una uhakika kuwa ni kweli kuna mikopo, je kutoka taifa na kama mikopo amekupa inajulikana kama ule wa china, kuna m'moja aliomba India, na ya uingereza nadhani, sasa sijui mikopo gani ambayo ni siri....?!Na mamikopo.mengi hatari,wakulima Wana lipi la kujidai?
Kama una ushahidi nyumba yako, yenu au ya mtu wako wa karibu tuletee hapa.... Ila sio unachukua maneno ya Twitter unatuletea hapa...Kimara na mwanza kuna sheria mbili za ubomoaji.Pili sahihi kubomoa ilikuwa ni mita 60 why wamebomoa zaidi ya mita 60 wamebomoa Hadi mita 120.
Ukweli utatuweka huru mwenye macho haambiwi tazama.Alishiriki kufanya kitu gani hebu nipe mfano wa ushiriki wake hapa ambao ulionekana hicho kipindi na watu wakaona wazi wazi kuwa ameamua kushiriki jambo batili kisheria kisha leo akalipinga tena jambo hilo hilo hebu tupe huo mfano.
Na usinambie kuhusu yeye kuwa baraza la mawaziri na unajua wazi kuwa pale yeye hana last say bali wanaplan tu baadhi ya maswala ya wizara na raisi ndie anaekubali au kukataa kulingana na ushauri na kura za mawaziri katika jambo lolote.
Mfano, magufuri alikuwa na lengo la kuclear ujenzi holela usiofuata taratibu tokea akiwa waziri na alikuwa akizuiliwa kufanya hivyo mara kadhaa hadi kutamani kuachia ngazi.
Si unakumbuka ile isse ya ubungo pale..... Si unakumbuka issue ya kule coco Beach.......?!
Mambo ni mengi.....
Chukua tape Kapime kimaraKama una ushahidi nyumba yako, yenu au ya mtu wako wa karibu tuletee hapa.... Ila sio unachukua maneno ya Twitter unatuletea hapa...
Wewe akili huna, kama suala la korosho hulijui Bora unyamaze usichokonoe vidonda vya watu hasa Lindi na MtwaraMaisha yamejawa na mambo mengi Sana ambayo mengine yanahitaji utulivu kuweza kuyapambanua. Kuna msemo wa kizungu unasema " empty words hamper the nation, hard work save it" sisi vijana tunaongea Sana polojo kuliko hata uwezo wetu wa kufanya kazi. Raisi sio malaika hawezi kufanya miujiza ambayo haiwezekani. Taifa linahitaji devotion yaani kujitoa kwa watu wake katika ubunifu, waminifu, uhodari, ujasiri, weledi na uchapakazi. Leo watu wachache wanamlaumu Raisi huku wengine wakitengeneza na maisha yanasonga vizuri. Vijana tuach polojo na degree zetu za copy and paste. Leo unasema Raisi alidhulumu kolosho, weka evidence na sio kupotosha watu. Zingene huwa ni propaganda za maadui ambao maslahi yao yamekinzana na maslahi ya umma. Kuwa Raisi wa wanyonge sio kuwagawi hela ni kuwapa watu confidence hasa grass root. Raisi wetu hakuwa malaika anakosea Kama wengine. Jiulize tukikupa wewe utafanya Nini? au tumpe baba yako mnywa gongo Kama atatoboa
Nani aliwaajiriHoja ya kwanza nataka kukuhoji ni hilo swala la watumishi hewa.
Hivi wewe una akili sawa sawa kwanza.....?!
Yaani mtu amefanya kosa kisheria halafu unakuja kuandika kama hoja ya kutaka huyu mtu aonekane kaonewa, kweli upo serious we mkosa hekima?!
Hivi ni wapi umeshawahi kusikia mtu anaefoji na kughushi vyeti vya taaluma, akigundulika basi atasimamishwa kazi na kupewa zawadi ya kulipwa malipo kwa utendaji wake?!
No wonder hii inchi yetu ina sheria za kipumbavu sana muda mwingine kwenye taasisi nyeti kama uhamiaji, TRA na mashirika ya bima.
So ulitaka tuendelee kusapoti watu wanaodanganya kwa kutumia vyeti feki tu kwasababu wanafamilia zinawategemea?!
Upuuzi wa karne huu......... Yaani mtu anaandika kabisa kutetea uovu as if hakuna kosa hapo.....
Huu uzi naona hata uliotaka kuwafurahisha wameususa kuusoma, kuu LIKE na hata kuchangia chochote kutokana na uh.aro wako ulio.hara humu ndan. Pole san mleta mada hili ni funzo kwako na kwa wachumia tumbo wenzako.Ndugu zangu poleni na msiba.
Tukiwa tunaendlea na maombolezo ya JPM, naomba kuwajua wanyonge ambao huyu mtu aliwapigania na kuwatetea.
Hii itasaidia kuweka kumbukumbu sawa. Kabla hatujamwita na kumfananisha na masiya. Je wanyonge aliowapigania ni kina nani?
Aliwakuta wakiwa na hali gani kinaisha 2015? Amewaachaje hapo 2021 alipofariki?
Mnyonge wa Tanzania ni nani, anafanyah mini yupo wapi? Maswali haya yatasaidia.
Ni katika kipindi chake watumishi hewa walifujuzwa kazi bila kulipwa chochote hawa wanategemewa na wanyonge huko kwao.
Alipora KOROSHO za wanyonge huko Kusini. Hawa ni wanyonge.
Aliongoza makato kwenye mikopo ya elimu ya juu. Hii ilisumbua wanyonge hasa watumishi wa umma.
Vitambulisho vya Wamachinga yalikuwepo sasa vipi na biashara zinafanyika kiholela holela.
Ewe mnyonge wa Tanzania nikukute wapi?
Haisadii hizi propaganda za kumpamba Jiwe tukiweka mizani ana mabaya mengi sana kuliko mazuri hata hii mbinu iliyotumiwa na government kumanipulate msiba ionekane analiliwa sana , na Kuna mbinu nyingi tu zimetumika kuoyesha anakubalika ikiwemo vitisho , subiri azikwe , mabaya yake yaanze kuanikwa . Watu mnakodi mpaka waliaji ?Maisha yamejawa na mambo mengi Sana ambayo mengine yanahitaji utulivu kuweza kuyapambanua. Kuna msemo wa kizungu unasema " empty words hamper the nation, hard work save it" sisi vijana tunaongea Sana polojo kuliko hata uwezo wetu wa kufanya kazi. Raisi sio malaika hawezi kufanya miujiza ambayo haiwezekani. Taifa linahitaji devotion yaani kujitoa kwa watu wake katika ubunifu, waminifu, uhodari, ujasiri, weledi na uchapakazi. Leo watu wachache wanamlaumu Raisi huku wengine wakitengeneza na maisha yanasonga vizuri. Vijana tuach polojo na degree zetu za copy and paste. Leo unasema Raisi alidhulumu kolosho, weka evidence na sio kupotosha watu. Zingene huwa ni propaganda za maadui ambao maslahi yao yamekinzana na maslahi ya umma. Kuwa Raisi wa wanyonge sio kuwagawi hela ni kuwapa watu confidence hasa grass root. Raisi wetu hakuwa malaika anakosea Kama wengine. Jiulize tukikupa wewe utafanya Nini? au tumpe baba yako mnywa gongo Kama atatoboa
Nani aliyesababisha mpaka wafikie hapo kwenye unyonge?Mama Ntilie, Wamachinga na Bodaboda! Hawa ndiyo watu pekee alio wataja mara nyingi kama Wanyonge.
Wale watumishi walikuwametoa jasho lao kuitumikia serikali. So they deserved their right!Hoja ya kwanza nataka kukuhoji ni hilo swala la watumishi hewa.
Hivi wewe una akili sawa sawa kwanza.....?!
Yaani mtu amefanya kosa kisheria halafu unakuja kuandika kama hoja ya kutaka huyu mtu aonekane kaonewa, kweli upo serious we mkosa hekima?!
Hivi ni wapi umeshawahi kusikia mtu anaefoji na kughushi vyeti vya taaluma, akigundulika basi atasimamishwa kazi na kupewa zawadi ya kulipwa malipo kwa utendaji wake?!
No wonder hii inchi yetu ina sheria za kipumbavu sana muda mwingine kwenye taasisi nyeti kama uhamiaji, TRA na mashirika ya bima.
So ulitaka tuendelee kusapoti watu wanaodanganya kwa kutumia vyeti feki tu kwasababu wanafamilia zinawategemea?!
Upuuzi wa karne huu......... Yaani mtu anaandika kabisa kutetea uovu as if hakuna kosa hapo.....
habari yako mtanzania mnyonge?Tayari ni swali chokonozi.
No need of explanation