Swali chokonozi: Hayati Magufuli aliwapigania wanyonge gani?

Serikali imebainisha kwamba ifikapo januari 2022, elimu itakuwa ya kulipia..???!? Elimu ipi? Ya Serikali ipi???
 
Pamoja na umati mkubwa wa watanzania waliojitokeza kumuaga, bado unauliza swali hili?
 
Hao wanyonge ni wakina nani aliye sabababisha wawewanyonge ni nani
 
Kwahiyo kuna sheria inayoruhusu wamachinga kufanya biashara katika hifadhi za barbara?
 
unyonge ni dhambi
 
Waajiriwa wenye vyeti feki waliajiriwa na serikali...

Serikali pia ilitakiwa kuwajibika kwa ujinga huo.
 
Huwezi sema unawapigania wanyonge huku unapambana kuwafanya wawe masikini
 
Ukikosolewa ndio uteke na kuua watu..?

Kama amekosea sheria zipo, sio kupoteza watu kwa mambo madogo yenye ushahidi.

Kumbe we nae kenge tu
 
Kama una ushahidi nyumba yako, yenu au ya mtu wako wa karibu tuletee hapa.... Ila sio unachukua maneno ya Twitter unatuletea hapa...
Ukipewa ushahidi wa hiyo nyumba UTAIJENGA..?

Katembeze marehemu kule Geita
 
Yetu macho tunataka tuanze kujua dhumuni la kuminya uhuru wa habari n nini kama we ni msafi.Tusubirie mabomu
 
Ogopa Sana mtu anayejipambanua kuwa anawatetea wanyonge kwa maneno wakati vitendo vyake vinapingana na maneno yake .

Zama zake ukijulikana una visenti vya kutosha huko benki unatafutiwa kesi za kumbambika .

Eti wa wanyonge

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Si kwamba aliwatetea wanyonge bali aliwatumia wanyonge kama kichaka cha kufichia mapungufu yake zaidi kupata sapoti za kisiasa.Madikteta wote upenda kuwabrain wash wanyonge kupitia propaganda.
Wanyonge ni nani? Wanyonge ni watu wasio na mbele yaani futureless people ambao ni wepesi kuwabrain wash.
Madikteta wote awapatani na matajiri na wasomi sababu kundi hili sio rahisi kulipropaganda.
 
Kama hata hujui kwamba korosho ziliporwa huko mkoa ya kusini 2017 basi wewe kweli una degree ya ku copy na kupest. Nilikuwepo mikoa hugo najua kilichotokea
Inatakiwa kujibu Ziliporwa kiasi gani za gharama gani kwa wakulima wangap, then tupe source ya taarifa yako hapo degree yako haitakua ya kupeste
 
Mbona Makonda hakushughulikiwa au Gwajima msukuma mwenzie alikuwa anadanganya???Kama gwajima anadai kwamba makonda alinunua cheti toka kwa Cristian jeulize Chet hicho kilikuwa halali au feki. Nakama aliuziwa Chet halali anatumbuliwaje sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…