Swali chokonozi: Hayati Magufuli aliwapigania wanyonge gani?

Wanyoge wake walikuwa akina Makonda, Mnyeti n.k
 
Nashangaa sisi ambao tulijaribu kuingia kwenye uvuvi sijui wengine ndugu nikwambie kwetu kigoma uvinza kata kalya kunauvuvi tunaita kipe niuvuvi safi na unafanyika mbali sana na fukwe tunafanya uvuvi ule tukiwa na leseni cha ajabu waliteketeza nyavu zetu halali hadi leo hii wanashikilia engene zetu kiasi kwamba tunashindwa kumudu familia zetu sasa mtetezi wa wanyonge gani watumishi.au wakulima ?aidha familia yake mungu msamehe hakujuwa madaraka yanamwisho.atahivyo kunakazi nzuri amefanya tumsamehe kama binaadam mwenzetu
 
Kwa hiyo Kikwete aliyekuwa anapandisha mshahara Kila mwaka kwa mujibu wa Sheria alikuwa malaika? Kama unafaidika na system kula kimyakimya tu. Sie wengine tuna machungu yasiyoelezeka
 
Hakuna mtetezi wa wanyonge yule alikuwa mwizi kama wezi wezi wengine w a hapo lumumba
 
1. Kwanini zoezi hilo halikufanyika jeshini JWTZ?
2. Km halikufanyika, haki iko wapi?
3. Je, wao wanautofauti gani na wafanyakazi wengine?
4. Kuna watu wapo juu ya sheria?
Nikisema ni zoezi la kipuuzi utakataa?
 

Wenye hvyo vyeti si ndo kama hawa wanaonzisha maada kama hii full nonsense

Yani anasupport mwizi eti kaonewa wakati ilibidi awekwe ndani na alipe fidia

Yani hii nchi kuibadili ni kazi sana asilimia 80 vijana akili hakuna vichani ni wanapenda shortcut na kuongea tu kwa mkumbo

Watu sijui hawafilirii asee
 
K
Hivi kwa nini nyie wasukuma hamnaga " r' ?! Eti " kolosho" × ni korosho√ ,"polojo"?! ni porojo√.
 
Hahah nimewasikia wapuuzi kama wewe leo wanasema magufuli aliongeza bei ya zao la Korosho? Ati aliikuta okowa 1700. Waongo wakubwa wale . John magufuli alipora korosho za watu bila kuwa na plane B Ya solo. Akaanza kupeleka wanajeshi nk. Kilichotokea ni ujinga tu
 
Wamchinga, boda boda na mama Ntilie.
Huoni wameshamiri na kuruhusiwa kufanya biashara hadi barabarani katika kipindi chake.
 
Mwalimu 500k per month umfananishe an mama ntilie!?? Una akili sawsawa
 
Jiulize tukikupa wewe utafanya Nini? au tumpe baba yako mnywa gongo Kama atatoboa

Una point za msingi lakin hapo mwisho naweza kuku judge kuwa ni mtu mwenye hasira za haraka.

Swali: endapo ukachagulia kuwa raisi katika hali ya maisha ya mtu wakipato cha chini, nini ungeboresha kwake na kumtoa katika hiyo hali aliyekuwanayo

Yaani mtu anaandika kabisa kutetea uovu as if hakuna kosa hapo
Umejibu moja ya hoja zake ungemaliza hoja zake zote ndio uje na hitimisho lako
 
Rais wa Miundombinu.

Why Miundombinu? Huko ndipo Upigaji mkubwa unapofanyika.

MAYANGA CONSTURCTIONS.
 
Hata muandike matapishi yenu mitandao yaliyojaa unafiki kejeli, chuki, upotoshaji, uwongo na uzandiki hamuwezi kufuta legancy ya Jemedari Magufuli
 
Kama kuna mtu anaamini Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge anatakiwa aende kanisani akatubu. Anakuwa ametenda dhambi isiyosameheka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…