britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Ni mambo ya kijinga sn, kama watu wanahama kwa hiari wanaogopa nini Lisu asiingie?Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?
Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba...
Na inashughuli za kijamii nyingi snNgorongoro ni wilaya bwashee, Lisu hajataka kuingia kwenye geti la Ngorongoro conservation area.
Wilaya ya Ngorongoro Ina kata na vijiji.
Kama upo serious na hii hoja yako basi Mikumi na Kilosa pasifanyike mikutano ya siasa kwa sababu kuna Mikumi National park.Usumbufu wa kalele kwa wanyama, inasumbua wanyama hawajazea hizo kelele.
Labda hawakuwa na visa 😂Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?
Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?
Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya.
Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu kwa wingi?
Lakini tumeona misafara ya watalii
Je, kuhofia hawatalipia Ada kuingia mbugani?
Hapa ndipo pa kupiga Pesa Kila kichwa kingehesabiwa laki 1 kuingia mbugani kwa shughuli nje ya Utalii kwa kila siku.
Kama walikuwa 100 ina maana hizo ni 10M per day.
Britanicca
Ana maajabu gani??Yani kama kweli CCM wanatutakia mema, wangemleta Rais Mwinyi huku bara 2025. Tungekuwa na Dr Mwinyi wala tusingekuwa na shida yoyote. Hata wapinzani wasingepata chakusema.
LABDA MAENEO HAYO HAKUNA WANANCHINi sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?
Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?
Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya.
Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu kwa wingi?
Lakini tumeona misafara ya watalii
Je, kuhofia hawatalipia Ada kuingia mbugani?
Hapa ndipo pa kupiga Pesa Kila kichwa kingehesabiwa laki 1 kuingia mbugani kwa shughuli nje ya Utalii kwa kila siku.
Kama walikuwa 100 ina maana hizo ni 10M per day.
Britanicca
Kule wanakohamia nako kumenuka!Ni mambo ya kijinga sn, kama watu wanahama kwa hiari wanaogopa nini Lisu asiingie?
None of the aboveNi sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?
Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?
Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya.
Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu kwa wingi?
Lakini tumeona misafara ya watalii
Je, kuhofia hawatalipia Ada kuingia mbugani?
Hapa ndipo pa kupiga Pesa Kila kichwa kingehesabiwa laki 1 kuingia mbugani kwa shughuli nje ya Utalii kwa kila siku.
Kama walikuwa 100 ina maana hizo ni 10M per day.
Britanicca
Ila CCM 🤣🤣🤣 yaan wanamiliki kila kitu lkn ni waoga balaa 🤣🤣!! Imagine mikutano inawakera kufanyika bas tu!!Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?
Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?
Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya.
Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu kwa wingi?
Lakini tumeona misafara ya watalii
Je, kuhofia hawatalipia Ada kuingia mbugani?
Hapa ndipo pa kupiga Pesa Kila kichwa kingehesabiwa laki 1 kuingia mbugani kwa shughuli nje ya Utalii kwa kila siku.
Kama walikuwa 100 ina maana hizo ni 10M per day.
Britanicca
Hivi kwann walozi mnawaita mafundi??Kule wanakohamia nako kumenuka!
Wamasai wengi wanarudi kimya kimya. Wanadai watu wa Msomera ni mafundi balaa!! Nyumba hazilaliki! Homa haziishi!
Ilimradi maluwe luwe 24/7!