Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?

Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?

Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya.

Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu kwa wingi?

Lakini tumeona misafara ya watalii

Je, kuhofia hawatalipia Ada kuingia mbugani?

Hapa ndipo pa kupiga Pesa Kila kichwa kingehesabiwa laki 1 kuingia mbugani kwa shughuli nje ya Utalii kwa kila siku.

Kama walikuwa 100 ina maana hizo ni 10M per day.

Britanicca
Lengo huwa ni kuzuia kelele za maspika zisiwadistabu simba wakati huu wa kuzaliana.
 
Kelele za speaker zitawabughudhi wanyama. Na shauri lile zoezi la kusaka zile sare mitaani lianzie huko tuone kama nao watazuiliwa.
... Tembo huchukizwa na sauti zenye pitch kubwa, ... WANAWEZA KUUVAMIA MSAFARA!
😅😅😅😅😅💥
 
Back
Top Bottom