Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.

lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion

Research question: Could this death be prevented?

Remember: Prevention is better than treatment!!
 
Ukishalipata utamrejesha hai??
Kwa nini hujaanza na la Mkapa??
Ni wapi uliyaona haya unayowazia.
Maisha yanaendelea na wapigaji wanaenjoy pindukia!!
sitamrejesha kamwe.lakini prevention is better than treatment!!kinga ni bora kuliko tiba!!

inaweza pia leta mabadiriko makubwa katika medicine and science,medical practice etc
 
saw
Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.

lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion

Research question: Could this death be prevented?

Remember: Prevention is better than treatment!!
sawaa , ila tukikupa ukubar kumfuata
 
Ni mwananchi. And ukishakuwa Rais unakuwa Public Property. Ndiyo maana Rais halishwi, kuvalishwa na kutibiwa na familia yake, kusafiri na kuishi kwa gharama za familia.
Alisikika mlevi mmoja baada ya kushiba kuber.
Sio Rais ni marehemu sasa hiyo public property haipo tena.

Mtu kama yule alikuwa na ma jammers, madege Angani, majeshi ya ndani na Nchi jirani na maombi na pambio.

Nani wa kumsogelea kiongozi wa malaika ? 😁😁😁
 
Kuna sheria maalum inaitwa Inquest Act of 1980.

Jambo hilo linawezekana kwa utaratibu maalum.

Wa kufanyika uchunguzi.
Sio kwa president, hiyo inquest inafanyika usalama na inabaki usalama na hakuna atakayeionyesha not even his own family not even his wife my friend.

Rais sio Mali ya mtu ukishavaa kile cheo ndio kwaheri. Yani Kuna privacy unaipoteza inakuwa mali ya watu na hao watu ni TISS makao makuu kitengo kinachodeal na mambo ya viongozi.
 
Tutafute kontena la kuhifadhia hayo ma files

Mwingine ataomba la Hayati Dr Omar Ally Juma

Mwingine ataomba la Mzee Nyerere aliesafiri akiwa nadhifu na kaunda suti yake ya rangi ya kijivu, kiatu cha rangi ya ugoro na mawani yake meusi huku mfuko wa shati mkono wa shoto kaweka kasha la kuhifadhia mawani akarudishwa kwny sanduku

Mwingine ataomba la Hayati Horaca Kolimba

Mwingine ataomba postpoterm report ya Chacha Wangwe, mwingine ataomba ya Hayati Sokoine iliyosemwa alikutwa na Jeraha la risasi

Mwingine ataomba file la Maalim Seif mwingine ataomba la Kijazi

Hapo bado Kangomba hawajaomba la Che Nkapa

Wengine wataomba uchunguzi wa ajali ya Salome Mbatia

Tutosheke tuseme Alhamdulillah na tusonge mbele
 
Sio Rais ni marehemu sasa hiyo public property haipo tena.

Mtu kama yule alikuwa na ma jammers,madege Angani,majeshi ya ndani na Nchi jirani na maombi na pambio.

Nani wa kumsogelea kiongozi wa malaika ? 😁😁😁
Alifariki akiwa Rais, kwahiyo alifariki akiwa Mali ya Jamhuri na wamiliki wa Jamhuri ni Wananchi.Having said so, these citzens have the right to know what transpired the death of their.................
 
Sio kwa president, hiyo inquest inafanyika usalama na inabaki usalama na hakuna atakayeionyesha not even his own family not even his wife my friend.

Rais sio Mali ya mtu ukishavaa kile cheo ndio kwaheri. Yani Kuna privacy unaipoteza inakuwa mali ya watu na hao watu ni TISS makao makuu kitengo kinachodeal na mambo ya viongozi.
Ipitie hiyo sheria kwanza.

Vile vile tume maalum inaweza kuundwa kuchunguza kifo chake.
 
Attachments

Back
Top Bottom