Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hata sheria ingekuwa inaruhusu kabla hujalifikia hilo file ungekuwa ushaungana na unayetaka kumfanyia hio inquest😅Unamuongelea DPP ambaye ameundwa na Sheria nyingine ya Public Prosecution Act na uteuzi wake na limits zake
Japo unaongelea kitu kinaitwa "public interest" ambayo hata kesi ya kikatiba ambayo marehemu Mtikila alifungua kupata right interpretation ya public interest ambapo Mahakama ukishindwa kudefine "what is public interest" .
Hapo unarudi kwenye Sheria za usalama wa Taifa watasema wao kwao kutofanya Inquest ni for the called "public interest"kulingana na mazingira niliyoyataja. That's why nimesema unaposoma Sheria moja usome na nyingine.
DPP hata akiombwa kufanya Inquest ya kifo Cha Rais sio Jambo la Leo maana inahitajika exhumation tufukue kaburi tuanze inquest Sasa unajiuliza mtu mmoja ndio public interest? Na huo ulazima wa kufukua kaburi unatoka wapi je what are we trying to achieve???
Yani sababu Kuna watu wawili au kumi ndio wanajiita public??? Really??? Na je kifo chake mbona serikali ilipata taarifa kutoka kwa daktari wake mwenyewe ambaye alikuwa anamtibu? Huo wasiwasi unautoa wapi? Yani kwa nini huyo mtu mmoja alete hii vurugu ambapo tulimzika kwa parade nzima na Katiba plus taratibu za mazishi zilishafanyika why iwe leo na asingeitisha kabla ya kuzika??? Anatafuta nini? Naomba uangalie haya maswali yangu Kama wewe ndio huyo DPP basi.
Kuna kitu tutauliza kwamba je una locus standi? Unaitoa wapi?
Anyway it's more technical than you think lakini one may pursue for academic purposes and setting a record kwamba aliwahi kufungua kesi Mahakamani ya namna hiyo but it is nonsense time consuming for nothing rather a "public nuisance" unarudi kulekule tu🤷