Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Watu wajinga sana.kazi ya mungu siku zote haina MAKOSA. Kwann hamtaki kukubali ufundi wa mungu kwenye hili?Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.
lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion
Research question: Could this death be prevented?
Remember: Prevention is better than treatment!!
Kuna viongozi wangapi wamekufa hamjaleta nongwa namna hii????
Sokoine, nyerere nk.
Tena nyerere alienda wingerrza akiwa anatembea mwenyewe?
Kwann mnaamini kwamba yule MAGUFULI haikuwa kifo cha kawaida kama walivyokufa Bibi na babu zenu????