Tutafute kontena la kuhifadhia hayo ma files
Mwingine ataomba la Hayati Dr Omar Ally Juma
Mwingine ataomba la Mzee Nyerere aliesafiri akiwa nadhifu na kaunda suti yake ya rangi ya kijivu, kiatu cha rangi ya ugoro na mawani yake meusi huku mfuko wa shati mkono wa shoto kaweka kasha la kuhifadhia mawani akarudishwa kwny sanduku
Mwingine ataomba la Hayati Horaca Kolimba
Mwingine ataomba postpoterm report ya Chacha Wangwe, mwingine ataomba ya Hayati Sokoine iliyosemwa alikutwa na Jeraha la risasi
Mwingine ataomba file la Maalim Seif mwingine ataomba la Kijazi
Hapo bado Kangomba hawajaomba la Che Nkapa
Wengine wataomba uchunguzi wa ajali ya Salome Mbatia
Tutosheke tuseme Alhamdulillah na tusonge mbele