Unapaswa kufahamu kwamba Inquest hufanyika Kama mazingira ya kifo cha mtu hayana maelezo ya daktari.
Mie najua maana ndio kazi zetu kusoma hizo kitu na kusimamia Inquest na mambo ya exhumation pamoja na postmortem.
Inquest ya Rais unaifanyaje? Report imeshatolewa na daktari wake hapo kwenye Sheria utaomba exhumation kwa kifungu kipi hapo labda wewe unajua zaidi[emoji1745]
Purpose ya Inquest ni nini??? Mazingira gani? Sio tu sababu mtu anajisikia anaamua kufanya Inquest. Halafu kuna mambo ya public tranquility soma pia humo.
Kama wewe ni mwanasheria kumbuka haya maneno kwenye statutory interpretation mie nilisoma mwaka 2001 wakati nipo chuo kikuu kwamba when interpreting laws you should always read in tandem with other laws.
Ina maana bado kuna Sheria na kanuni za usalama unapaswa uzisome pia maana bunge lilipitisha likiwa na maana yake.
Let's say unaamua kufanya Inquest ambayo pia mtu binafsi huwezi maana kuna vyombo vimeundwa kufanya hivyo, ukiamua ya Magufuli kumfanyia exhumation basi mwingine ataomba ya Nyerere, mwingine Mkapa, mwingine Kolimba, mwingine Kambona sijui unaona hapo kwenye section 4/5 unaongelea pia public tranquility inapokuja???
Anyway labda unieleze wewe ni mwanasheria ili tuanzie hapo naweza kuwa naingia deep zaidi ya uwezo wako.