Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

Swali chokonozi: Nikiomba file la matibabu ya hayati Magufuli naweza kupewa?

Ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake! Ingawa Mungu yuko juu zaidi ya hiyo siri! Kwa ufupi huwezi kupewa!
 
Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.

lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion

Research question: Could this death be prevented?

Remember: Prevention is better than treatment!!
Acha hizo, mateso tulipitia yalitosha
 
Alifariki akiwa Rais, kwahiyo alifariki akiwa Mali ya Jamhuri na wamiliki wa Jamhuri ni Wananchi.Having said so, these citzens have the right to know what transpired the death of their.................
Mmmh mbona ikawa yeye ndio anatumiliki, kutofokea, kutupiga, hataki kukosolewa ,ukorofi moto na kundi lake la kina makonda na sabaya
 
Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.

lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion

Research question: Could this death be prevented?

Remember: Prevention is better than treatment!!
Una uhalali gani? Wewe ni mke wake au watoto wake? Poor you! He is gone. It's enough talking about hom
 
Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.

lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion

Research question: Could this death be prevented?

Remember: Prevention is better than treatment!!
Mimi si tabibu wala Daktari na sijui taratibu zao, Ila ninachojua ni kwamba taarifa za matibabu ya mtu ni faragha yake mwenyewe na hata kama Amefariki basi Ndugu wa karibu huwajika nazo. Lakini pia kama swala ni sababu ya kifo hilo nadhani liko wazi labda kama sijakuelewa.
 
Ni mwananchi and ukishakuwa Rais unakuwa Public Property. Ndiyo maana Rais halishwi, kuvalishwa na kutibiwa na familia yake, kusafiri na kuishi kwa gharama za familia.

Alisikika mlevi mmoja baada ya kushiba kuber.
Raisi kuwa mtu wa umma haimuondolei haki yake ya msingi ya kuwa na faragha hususani ya Matibabu.
 
Back
Top Bottom