kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
Muulize aliyeanzisha uzi!Kwa hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize aliyeanzisha uzi!Kwa hiyo?
Unapaswa kufahamu kwamba Inquest hufanyika Kama mazingira ya kifo cha mtu hayana maelezo ya daktari.Ipitie hiyo sheria kwanza.
Vile vile tume maalum inaweza kuundwa kuchunguza kifo chake.
Jibu limeshiba hiliNi mwananchi. And ukishakuwa Rais unakuwa Public Property. Ndiyo maana Rais halishwi, kuvalishwa na kutibiwa na familia yake, kusafiri na kuishi kwa gharama za familia.
Alisikika mlevi mmoja baada ya kushiba kuber.
DPP anazo powers under section 18 of the Inquest Act of 1980 ku order inquest for public i interest.Unapaswa kufahamu kwamba Inquest hufanyika Kama mazingira ya kifo cha mtu hayana maelezo ya daktari.
Mie najua maana ndio kazi zetu kusoma hizo kitu na kusimamia Inquest na mambo ya exhumation pamoja na postmortem.
Inquest ya Rais unaifanyaje? Report imeshatolewa na daktari wake hapo kwenye Sheria utaomba exhumation kwa kifungu kipi hapo labda wewe unajua zaidi🤷
Purpose ya Inquest ni nini??? Mazingira gani? Sio tu sababu mtu anajisikia anaamua kufanya Inquest. Halafu kuna mambo ya public tranquility soma pia humo.
Kama wewe ni mwanasheria kumbuka haya maneno kwenye statutory interpretation mie nilisoma mwaka 2001 wakati nipo chuo kikuu kwamba when interpreting laws you should always read in tandem with other laws.
Ina maana bado kuna Sheria na kanuni za usalama unapaswa uzisome pia maana bunge lilipitisha likiwa na maana yake.
Let's say unaamua kufanya Inquest ambayo pia mtu binafsi huwezi maana kuna vyombo vimeundwa kufanya hivyo, ukiamua ya Magufuli kumfanyia exhumation basi mwingine ataomba ya Nyerere, mwingine Mkapa, mwingine Kolimba, mwingine Kambona sijui unaona hapo kwenye section 4/5 unaongelea pia public tranquility inapokuja???
Anyway labda unieleze wewe ni mwanasheria ili tuanzie hapo naweza kuwa naingia deep zaidi ya uwezo wako.
kiviipi??Unatafuta Maza akimbie kutokuchukua fomu ya kugombea 2025?
Ukipewa utahakikishaje kuwa yaliyoandikwa mle ni ya kweli.Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.
lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion
Research question: Could this death be prevented?
Remember: Prevention is better than treatment!!
duuuhSio kwa president, hiyo inquest inafanyika usalama na inabaki usalama na hakuna atakayeionyesha not even his own family not even his wife my friend.
Rais sio Mali ya mtu ukishavaa kile cheo ndio kwaheri. Yani Kuna privacy unaipoteza inakuwa mali ya watu na hao watu ni TISS makao makuu kitengo kinachodeal na mambo ya viongozi.
Unamuongelea DPP ambaye ameundwa na Sheria nyingine ya Public Prosecution Act na uteuzi wake na limits zakeDPP anazo powers under section 18 of the Inquest Act of 1980 ku order inquest for public i interest.
Inawezekana kufanyika ni jambo tu la utayari kwa mamlaka kwa wakati huo ila linawezekana kabisa.Unamuongelea DPP ambaye ameundwa na Sheria nyingine ya Public Prosecution Act na uteuzi wake na limits zake
Japo unaongelea kitu kinaitwa "public interest" ambayo hata kesi ya kikatiba ya marehemu Mtikila ukishindwa kudedine "what is public interest" .
Hapo unarudi kwenye Sheria za usalama wa Taifa watasema wao kwao kutofanya Inquest ni for public interest kulingana na mazingira niliyoyataja. That's why nimesema unaposoma Sheria moja usome na nyingine.
DPP hata akiombwa kufanya Inquest ya kifo Cha Rais sio Jambo la Leo maana inahitajika exhumation tufukue kaburi tuanze inquest Sasa unajiuliza mtu mmoja ndio public interest?
Yani sababu Kuna watu wawili au kumi ndio wanajiita public??? Really??? Na he kifo chake mbona serikali ilipata taarifa kutoka kwa daktari wake mwenyewe ambaye alikuwa anamtibu? Huo wasiwasi unautoa wapi?
Kuna kitu tutauliza kwamba je una locus standi? Unautoa wapi?
Anyway it's more technical than you think lakini one may pursue for academic reasons
Mortality Audit au sio?Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.
lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion
Research question: Could this death be prevented?
Remember: Prevention is better than treatment!!
Hatuwezi kuadhimisha. Yule boya na mkapa hakuna maadhimisho. Labda ndugu zake tu. Sisi wengine siku hiyo ni ya kumshukuru Mungu kwa kutuondolea lijitu libaya kwenye nchi yetu.Mbona siku ya kifo chake tuna azimisha nchi nzima?
#YNWA
Arafat alifariki katika nchi ambayo ilikuwa inapambana kutambulika kimataifa as a sovereign state tofauti na kifo cha Magufuli aliyekuwa mtawala wa nchi ambayo ni sovereign na alikataa wasimuingilie siasa zake za ndani ya nchi hapo ukigusa ndio kabisa umoja wa kimataifa utakukimbia maana hawakuwa na access ya mambo ya ndani kabisa.Kuna mwanamke .mke wa Rais Yasser Arafat alipambana na vikwazo vyote mlivyotaja hapo juu lakini haku give up na alifanikiwa kuweka public mazingira ya kifo cha mmewe Yassir Arafat .hakuna lisilowezekana ila si culture ya mswahili kutokugive up
Unepanick tatizoUkishalipata utamrejesha hai??
Kwa nini hujaanza na la Mkapa??
Ni wapi uliyaona haya unayowazia.
Maisha yanaendelea na wapigaji wanaenjoy pindukia!!
Brother unavitu vingi kama mswahili akiombwa ushauri wa kunazusha biashara ukimuomba ushauri anakupa vigingi mpaka unachoka mwenyewe na biashara unaghaili kufanya!Arafat alifariki katika nchi ambayo ilikuwa inapambana kutambulika kimataifa as a sovereign state tofauti na kifo cha Magufuli aliyekuwa mtawala wa nchi ambayo ni sovereign na alikataa wasimuingilie siasa zake za ndani ya nchi hapo ukigusa ndio kabisa umoja wa kimataifa utakukimbia maana hawakuwa na access ya mambo ya ndani kabisa.
Magufuli mwenyewe alishakataa na hakusafiri huko kwao leo ukileta kuwahusisha ndio unajiandalia kukataliwa kila sehemu ni nani atamtetea? Nani??
He was a best friend of his own and a master of his own demise. Alijichimbia kaburi lake mwenyewe.
Hii msahau tu amekufa baaasi.
Swali lako ni la kigaidi, kihujumu uchumi, na kitakatishaji fedhaNauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.
lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion
Research question: Could this death be prevented?
Remember: Prevention is better than treatment!!
Na lengo langu ni kumuonyesha ugumu uliopo so ukisoma ushauri wangu pia angalia mazingira ambayo anataka kutekeleza hayo malengo yake.Brother unavitu vingi kama mswahili akiombwa ushauri wa kunazusha biashara ukimuomba ushauri anakupa vigingi mpaka unachoka mwenyewe na biashara unaghaili kufanya!
Lengo mtoa mada research ya mtoa mada amesema ni hipi?