Ni mwananchi and ukishakuwa Rais unakuwa Public Property. Ndiyo maana Rais halishwi, kuvalishwa na kutibiwa na familia yake, kusafiri na kuishi kwa gharama za familia.Wewe ni mwanafamilia?
Ukishalipata utamrejesha hai?Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa...
sitamrejesha kamwe.lakini prevention is better than treatment!!kinga ni bora kuliko tiba!!Ukishalipata utamrejesha hai??
Kwa nini hujaanza na la Mkapa??
Ni wapi uliyaona haya unayowazia.
Maisha yanaendelea na wapigaji wanaenjoy pindukia!!
sawaa , ila tukikupa ukubar kumfuataNauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.
lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion
Research question: Could this death be prevented?
Remember: Prevention is better than treatment!!
Unatafuta Maza akimbie kutokuchukua fomu ya kugombea 2025?Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa...
Sio Rais ni marehemu sasa hiyo public property haipo tena.Ni mwananchi. And ukishakuwa Rais unakuwa Public Property. Ndiyo maana Rais halishwi, kuvalishwa na kutibiwa na familia yake, kusafiri na kuishi kwa gharama za familia.
Alisikika mlevi mmoja baada ya kushiba kuber.
Punguza unazi SUKUMA GANG.Ukishalipata utamrejesha hai??
Kwa nini hujaanza na la Mkapa??
Ni wapi uliyaona haya unayowazia.
Maisha yanaendelea na wapigaji wanaenjoy pindukia!!
Sio kwa president, hiyo inquest inafanyika usalama na inabaki usalama na hakuna atakayeionyesha not even his own family not even his wife my friend.Kuna sheria maalum inaitwa Inquest Act of 1980.
Jambo hilo linawezekana kwa utaratibu maalum.
Wa kufanyika uchunguzi.
Mbona siku ya kifo chake tuna azimisha nchi nzima?Sio Rais ni marehemu sasa hiyo public property haipo tena.
Unaazimisha wewe na nani? Tarehe gani huwa ni public holiday ya Mwendazake? π¬π¬π¬Mbona siku ya kifo chake tuna azimisha nchi nzima?
#YNWA
Maraisi kibao tunaambiwa ""Leo ni siku ya kumbukizi ya kifo cha ..... Katika siku hiyo raisi ame fanya .......""Unaazimisha wewe na nani? Tarehe gani huwa ni public holiday ya Mwendazake? π¬π¬π¬
Alifariki akiwa Rais, kwahiyo alifariki akiwa Mali ya Jamhuri na wamiliki wa Jamhuri ni Wananchi.Having said so, these citzens have the right to know what transpired the death of their.................Sio Rais ni marehemu sasa hiyo public property haipo tena.
Mtu kama yule alikuwa na ma jammers,madege Angani,majeshi ya ndani na Nchi jirani na maombi na pambio.
Nani wa kumsogelea kiongozi wa malaika ? πππ
Kwa hiyo?Alifariki akiwa Rais, kwahiyo alifariki akiwa Mali ya Jamhuri na wamiliki wa Jamhuri ni Wananchi.Having said so, these citzens have the right to know what transpired the death of their.................
Ipitie hiyo sheria kwanza.Sio kwa president, hiyo inquest inafanyika usalama na inabaki usalama na hakuna atakayeionyesha not even his own family not even his wife my friend.
Rais sio Mali ya mtu ukishavaa kile cheo ndio kwaheri. Yani Kuna privacy unaipoteza inakuwa mali ya watu na hao watu ni TISS makao makuu kitengo kinachodeal na mambo ya viongozi.