Sanyambila
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 378
- 510
Wanajamii habari!
Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa CCM wakilalamika na kusikitika huku wakidai vijana mmekosa ajira sasa nipeni kura nitatoa ajira. Huku CCM ndo wamekaa madarakani miaka 59 wakitoka TANU hadi CCM.
Mgombea wa urais amesikika Mara kadhaa akisema '' chagueni CCM vyama vingine vitaleta vurugu na kutuibia rasili mali zetu '' je KWA muda wote huo ,59 miaka hakukuwa na wizi madini, nyara za serikali ,ufisadi was pesa, MF EPPA, ESCROW.
Pigeni siasa safi bila kusingizia mtu bebeni majukumu yenu yatekelezeni mgombea anasema ufisadi ulijaa nimeuondoa hao wapinzani ni wapiga dili swali je waliongoza lini serilikali wakapiga dili?
Mgombea wa ccm amekuwepo katika vipindi vinne katika awamu mbili za mkapa na kikwete lakini naye eti anashangaa kilichotu fikisha hapa.
Ni hayo tu karibu kwa mjadala.
Ahsante.
NOTE: SINA. CHAMA WA MSHABIKI BALI MZALENDO TU