Hivi jiwe anaweza kuongea nini kwa mfano?Ni vigumu kufanya debate na mtu ambaye atatukana. Sawa tu Rais alivyokataa. Kisiasa imekaa vizuri.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi jiwe anaweza kuongea nini kwa mfano?Ni vigumu kufanya debate na mtu ambaye atatukana. Sawa tu Rais alivyokataa. Kisiasa imekaa vizuri.
Mbona hujasema wapinzani wamekwamisha jambo gani lililofanywa na fisiemu?Listen usiwe mjinga na wewe buana.
Umezungumzia bungeni!
Ulishawahi angalia bunge??
Uwepo wa principal Laws zinazoruhusu utungwaji wa by Laws umewapunguzia sana majukumu ya Wabunge kutunga sheria.
Jukumu kubwa lillilobaki kwa wabunge kwa sasa ni kutoa kero za wananchi wake.
Wabunge wengi wa upinzani hawajui hili jukumu lao.
1. Mtu yupo bungeni sometimes anasinzia tu, anatukana tu, ana jimbo mkoani lakini baada ya vikao vya bunge anakula bata dar es salaam, hasemi changamoto za wananchi wake bali yupo pale kuchekesha wabunge wengine(Comedian).
Hapo inafika wakati wa kudiscuss budget unafikiri jimbo lako lizingatiwa wakati hujatoa hata changamoto kushow kuwa hauna stend/barabara jimboni kwako..ukihisi endapo serikali itajenga basi CCM wataendelea kugain popularity & trust kutoka kwa wananchi..kumbe wakati huo unawatesa wananchi wako.
Kwamba vijana waliajiliwa kisha wapinzani wakawachomoa huko ajirani ili waishutumu serekali vizuri si ndiyo???Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.
In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).
Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative way.
Kuna yule alinunua ndege na kujenga uwanja wa chato, je bunge lilihusika mkuu?Maendeleo ya nchi bila kulitaja bunge ambapo wanadiscuss budget, na kudiscuss baraza la mawaziri kuhusu utekelezaji wake wa hiyo budget unakuwa unazungumza nini sasa.
Natamani kuandika sana,lakini nafsi yangu inasema inatosha.
Inamaana kiongozi, wewe huoni tija hata kidogo ktk kum-endorse mwana nke mweupe?
Mkuu akitukana si ndio vizuri maana tunakuwa tusha jua pumba ipi mchele upi!Ni vigumu kufanya debate na mtu ambaye atatukana. Sawa tu Rais alivyokataa. Kisiasa imekaa vizuri.
Listen usiwe mjinga na wewe buana.
Umezungumzia bungeni!
Ulishawahi angalia bunge??
Uwepo wa principal Laws zinazoruhusu utungwaji wa by Laws umewapunguzia sana majukumu ya Wabunge kutunga sheria.
Jukumu kubwa lillilobaki kwa wabunge kwa sasa ni kutoa kero za wananchi wake.
Wabunge wengi wa upinzani hawajui hili jukumu lao.
1. Mtu yupo bungeni sometimes anasinzia tu, anatukana tu, ana jimbo mkoani lakini baada ya vikao vya bunge anakula bata dar es salaam, hasemi changamoto za wananchi wake bali yupo pale kuchekesha wabunge wengine(Comedian).
Hapo inafika wakati wa kudiscuss budget unafikiri jimbo lako lizingatiwa wakati hujatoa hata changamoto kushow kuwa hauna stend/barabara jimboni kwako..ukihisi endapo serikali itajenga basi CCM wataendelea kugain popularity & trust kutoka kwa wananchi..kumbe wakati huo unawatesa wananchi wako.
Listen usiwe mjinga na wewe buana.
Umezungumzia bungeni!
Ulishawahi angalia bunge??
Uwepo wa principal Laws zinazoruhusu utungwaji wa by Laws umewapunguzia sana majukumu ya Wabunge kutunga sheria.
Jukumu kubwa lillilobaki kwa wabunge kwa sasa ni kutoa kero za wananchi wake.
Wabunge wengi wa upinzani hawajui hili jukumu lao.
1. Mtu yupo bungeni sometimes anasinzia tu, anatukana tu, ana jimbo mkoani lakini baada ya vikao vya bunge anakula bata dar es salaam, hasemi changamoto za wananchi wake bali yupo pale kuchekesha wabunge wengine(Comedian).
Hapo inafika wakati wa kudiscuss budget unafikiri jimbo lako lizingatiwa wakati hujatoa hata changamoto kushow kuwa hauna stend/barabara jimboni kwako..ukihisi endapo serikali itajenga basi CCM wataendelea kugain popularity & trust kutoka kwa wananchi..kumbe wakati huo unawatesa wananchi wako.
Umekuja serious mwenyewe, Umeandika Kwa kuhamaki nikajua unapoint za maana. Wai! PUMBA TUPUListen usiwe mjinga na wewe buana.
Umezungumzia bungeni!
Ulishawahi angalia bunge??
Uwepo wa principal Laws zinazoruhusu utungwaji wa by Laws umewapunguzia sana majukumu ya Wabunge kutunga sheria.
Jukumu kubwa lillilobaki kwa wabunge kwa sasa ni kutoa kero za wananchi wake.
Wabunge wengi wa upinzani hawajui hili jukumu lao.
1. Mtu yupo bungeni sometimes anasinzia tu, anatukana tu, ana jimbo mkoani lakini baada ya vikao vya bunge anakula bata dar es salaam, hasemi changamoto za wananchi wake bali yupo pale kuchekesha wabunge wengine(Comedian).
Hapo inafika wakati wa kudiscuss budget unafikiri jimbo lako lizingatiwa wakati hujatoa hata changamoto kushow kuwa hauna stend/barabara jimboni kwako..ukihisi endapo serikali itajenga basi CCM wataendelea kugain popularity & trust kutoka kwa wananchi..kumbe wakati huo unawatesa wananchi wako.
Joe yuko jino kwa jino na Donald kila uchao, na wanatoleana lugha kali. Kwa hiyo Magu ni mwoga wa kuambiwa ukweli?Ni vigumu kufanya debate na mtu ambaye atatukana. Sawa tu Rais alivyokataa. Kisiasa imekaa vizuri.
Haha!
Hivi unaijua shida tuliyokuwa tunaipata before ujenzi wa flyover ya ubungo??
Mwananyamala na baadhi ya maeneo ya kinondoni walivyo kuwa wanapata shida before ujenzi wa hizi streets roads!
Na mengine Mengi.
Usingethubutu kusema hili Jambo.
Haya mambo ya Mafuriko sometimes ni acts of God sababu hata London pia Mafuriko hutokea.
Hivi kwa zama hizi huwezi mjua tapeli ? 'Hawa viongozi wa kitaifa mara nyingi niliwaonya kuhusu kutunza kauli zao, waliniona mimi kapunjunju sasa hivi wanaomba kura tena kwakupiga magoti ni wanafiki tu hao 'there are failed politiciancs'Wanajamii habari!
Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa CCM wakilalamika na kusikitika huku wakidai vijana mmekosa ajira sasa nipeni kura nitatoa ajira. Huku CCM ndo wamekaa madarakani miaka 59 wakitoka TANU hadi CCM.
Mgombea wa urais amesikika Mara kadhaa akisema '' chagueni CCM vyama vingine vitaleta vurugu na kutuibia rasili mali zetu '' je KWA muda wote huo ,59 miaka hakukuwa na wizi madini, nyara za serikali ,ufisadi was pesa, MF EPPA, ESCROW.
Pigeni siasa safi bila kusingizia mtu bebeni majukumu yenu yatekelezeni mgombea anasema ufisadi ulijaa nimeuondoa hao wapinzani ni wapiga dili swali je waliongoza lini serilikali wakapiga dili?
Mgombea wa ccm amekuwepo katika vipindi vinne katika awamu mbili za mkapa na kikwete lakini naye eti anashangaa kilichotu fikisha hapa.
Ni hayo tu karibu kwa mjadala.
Ahsante.
NOTE: SINA. CHAMA WA MSHABIKI BALI MZALENDO TU
Wanajamii habari!

Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.
In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).
Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative
inamaana huoni jinsi chama tawala hasa kiongozi mkuu nao wanavyowatia doa viongozi waliopita kwa kujifanya wao sasa hivi ndio wanafanya kazi na wenzao waliopita hakuna walichofanya!?, hivi kiongozi kusema nchi hii ilikua ya ovyo kuna tofauti gani na wapinzani wnaposema nchi hii iko ovyo?, embu jibu hoja yenye mashiko sio porojo, hii serikal na chama chake ndio kimetufikisha hapa kwa miaka yote hii yani ni ovyo kabisa, shame on themUpinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.
In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).
Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative way.
Sidhani kama kuna 'ushirikiano' kati ya akili yako na vidole vyako wakati wa kuandika! Hii yote inaonyesha ulivyo mvivu wa kufikiri!Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.
In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).
Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative way.
hahahahaaa kwani hilo bunge linaongozwa na wa chama gani? inamaana hujui au huonagi pindi wapinzani wanapotakaga kuibana serikali ktk utekelezaji wa bajeti yake jinsi wanavyotendewa mabaya? je huoni jinsi bunge linavyoendeshwa kwa misingi ya uchama na kupokea maamlisho toka juu?Maendeleo ya nchi bila kulitaja bunge ambapo wanadiscuss budget, na kudiscuss baraza la mawaziri kuhusu utekelezaji wake wa hiyo budget unakuwa unazungumza nini sasa.
Natamani kuandika sana,lakini nafsi yangu inasema inatosha.
Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.
In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).
Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative way.
Listen usiwe mjinga na wewe buana.
Umezungumzia bungeni!
Ulishawahi angalia bunge??
Uwepo wa principal Laws zinazoruhusu utungwaji wa by Laws umewapunguzia sana majukumu ya Wabunge kutunga sheria.
Jukumu kubwa lillilobaki kwa wabunge kwa sasa ni kutoa kero za wananchi wake.
Wabunge wengi wa upinzani hawajui hili jukumu lao.
1. Mtu yupo bungeni sometimes anasinzia tu, anatukana tu, ana jimbo mkoani lakini baada ya vikao vya bunge anakula bata dar es salaam, hasemi changamoto za wananchi wake bali yupo pale kuchekesha wabunge wengine(Comedian).
Hapo inafika wakati wa kudiscuss budget unafikiri jimbo lako lizingatiwa wakati hujatoa hata changamoto kushow kuwa hauna stend/barabara jimboni kwako..ukihisi endapo serikali itajenga basi CCM wataendelea kugain popularity & trust kutoka kwa wananchi..kumbe wakati huo unawatesa wananchi wako.
Kukosoa si kutukana. Toa mfano wa tusi moja tu alilotukana mpinzani toka mfumo wa vyama vingi uanze. Usipotoshe ukweli.Ni vigumu kufanya debate na mtu ambaye atatukana. Sawa tu Rais alivyokataa. Kisiasa imekaa vizuri.