SWALI FIKIRISHI: Kwanini CCM wanawalaumu Wapinzani huku wao ndo watawala kwa miaka 59

Wanajamii habari!

Kumezuka kasumba ya wanasiasa hasa wa CCM wakilalamika na kusikitika huku wakidai vijana mmekosa ajira sasa nipeni kura nitatoa ajira. Huku CCM ndo wamekaa madarakani miaka 59 wakitoka TANU hadi CCM.

Mgombea wa urais amesikika Mara kadhaa akisema '' chagueni CCM vyama vingine vitaleta vurugu na kutuibia rasili mali zetu '' je KWA muda wote huo ,59 miaka hakukuwa na wizi madini, nyara za serikali ,ufisadi was pesa, MF EPPA, ESCROW.

Pigeni siasa safi bila kusingizia mtu bebeni majukumu yenu yatekelezeni mgombea anasema ufisadi ulijaa nimeuondoa hao wapinzani ni wapiga dili swali je waliongoza lini serilikali wakapiga dili?

Mgombea wa ccm amekuwepo katika vipindi vinne katika awamu mbili za mkapa na kikwete lakini naye eti anashangaa kilichotu fikisha hapa.

Ni hayo tu karibu kwa mjadala.

Ahsante.

NOTE: SINA. CHAMA WA MSHABIKI BALI MZALENDO TU
Umesema ukweli tupu!!
 
Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.
Lete ushahidi wa kilichoharibiwa na wapinzani sehemu yoyote ile alafu serikali inaangalia tu ilihali kuna polisi na mahakama.
In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani)
(1) Kwa mfano, Ujenzi wa uwanja wa ndege chato ulitaka wapinzani wasipinge?
(2) Vipi kuhusu manunuzi ya ndege? Tija ipo?
(3) Ujenzi wa Stiga gorge, je mpango wa ujenzi ulikuwa ni kwa kipindi hiki?
(4) Vipi kuhusu Ujenzi wa jengo kubwa la TRA chato ulikuwa sahihi?
(5) Hospital ya rufaa chato, ni sahihi? (Geita mjini hakuna hospital ya rufaa).
 
Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.

In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).

Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative way.
Wanazuiaje maendeleo? Wanahujumu? Mbona wahujumu uchumi wanaoshtakiwa kila siku ni watu wa CCM?
Propaganda za kitoto kabisa hizo kupata kutokea katika nchi hii.
Na ujumbe huu wa kijinga umekuwa ukitumiwa awamu hii ya 5 na ndio umewaangusha sana mbele ya wananchi
 
Listen usiwe mjinga na wewe buana.

Umezungumzia bungeni!

Ulishawahi angalia bunge??

Uwepo wa principal Laws zinazoruhusu utungwaji wa by Laws umewapunguzia sana majukumu ya Wabunge kutunga sheria.

Jukumu kubwa lillilobaki kwa wabunge kwa sasa ni kutoa kero za wananchi wake.

Wabunge wengi wa upinzani hawajui hili jukumu lao.
1. Mtu yupo bungeni sometimes anasinzia tu, anatukana tu, ana jimbo mkoani lakini baada ya vikao vya bunge anakula bata dar es salaam, hasemi changamoto za wananchi wake bali yupo pale kuchekesha wabunge wengine(Comedian).

Hapo inafika wakati wa kudiscuss budget unafikiri jimbo lako lizingatiwa wakati hujatoa hata changamoto kushow kuwa hauna stend/barabara jimboni kwako..ukihisi endapo serikali itajenga basi CCM wataendelea kugain popularity & trust kutoka kwa wananchi..kumbe wakati huo unawatesa wananchi wako.
Acha akili na mawazo mgando kama za Gwaji Boy. Hayo maendeleo si yangeonekana kwenye majimbo yaliyo chini ya ccm toka tupate Uhuru?
 
Wapinzani wanachelewesha maendeleo
Basi mfute kile kipengele ktk katiba kinachosema "Jamhuri ya muungano ni nchi ya kidemokrasia na kijamaa, yenye kufuata mfumo wa vyama vingi vingi vya siasa". Sura ya kwanza (3) (1) ya katiba.
IMG_20201017_070330_267.jpg
 
Suala la debate liwe la kisheria ni lazima sio hiyari, ukiwa unataka kuwa kiongozi mkuu wa nchi ni lazima ukubali kuulizwa. Ni vizuri kuongelea uliyofanya ila haikufanyi usiulizwe maana ukija katika uchaguzi mpya utaulizwa unataka kufanya nini sio ulifanya nini, uliyoyafanya umeshapigiwa kura ndio maana unaomba tena tukijikita kila mara ohhh unajuwa tulikuwa na shule 2 leo 10 sijui Ma Dr 10 leo 20 hiyo haisaidii lolote na wala nchi haitaendelea. Hapa naomba miaka 5 sababu tunataka kufanya A, B, C ... na kama hukuyafanya uliyoahidi nyuma utaulizwa.
 
Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.

In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).

Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative way.
Kaka tuache ujinga. Ndio maana tukiwa CCM tunadharaulika. Upinzani umeanza rasmi Tanzania mwaka 1992. Maendeleo gani tuliyapata kabla ya hapo wakati hakukuwapo wa kupinga kila kitu?
 
Kabla ya upinzani kuwepo Tanzania ilikuwa inaenda vizuri kiuchumi

Mkuuu hujamjibu mleta mada,soma tena uzi wake alafu umjibu.
 
Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.

In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).

Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative way.

Unaijua siasa? Kazi ya chama tawala ni ipi na ya upinzani ni ipi??

Unataka upinzani waseme "CCM na Magufuli ni wazuri na wanafanya kazi vizuri lakini tunaomba kura tu!"

Tuiache siasa iwe siasa, upinzani kuwa against serikali ndiyo kazi halali ya upinzani!!

Haiwezekani serikali wakajenga flying over upinzani wakaenda kubomoa kwamba ndiyo kupiga maendeleo ila upinzani watakwambia ile flying over serikali imepoteza pesa tu kwani haijasolve tatizo na ndiyo maana mvua kidogo mji unasimama!! Upo?
 
Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.

In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).

Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative way.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana! ungejaribu hata kumuelewa mleta mada usingeandika hizi pumba ulizoandika hapa, Mgombea wa ccm anaposema nchi yetu ilikuwa imefika pabaya, je ni viongozi wa chama gani walikuwa madarakani? ufisadi, uuzwaji wa wanyama wetu kiholela, mikataba ya hovyo, nk ni upinzani gani uliyafanya hayo? ni lini na wapi upinzani walizuia maendeleo yasipelekwe kwa wananchi?
 
Ni vigumu kufanya debate na mtu ambaye atatukana. Sawa tu Rais alivyokataa. Kisiasa imekaa vizuri.
Matusi ni kwaajili ya kutukana na ni mazuri yakitumika mahala pake. Kwahiyo kama mtu wako anaeleza ujinga kwenye debate kwanini asitukanwe?

Angalia sasa amekuwepo madarakani, hajaajiri. Sasa hivi anasema chagueni ccm ili atoe ajira. Huo si ujinga? Hapo akitukanwa si ni sawa?
 
Upinzani wapo mbele sana kupinga kila kitu kinachofanya na serikali.Wanafika mahali wanadestroy hata kile kilichofanywa na serikali ili kuwaaminisha wananchi kuwa serikali yao haifanyi jambo lolote. Hii ni kwa benefit yao ili kusudi Uchaguzi Ujao wananchi waamini serikali iliyopita haikufanya lolote.

In short, upinzani wa Tanzania upo kuzuia na kupinga Maendeleo yanayofanywa na serikali iliyopo madarakani, Na sio kuikosoa na kuielekeza serikali njia sahihi(ambalo kazi kubwa ya upinzani).

Tanzania na baadhi ya nchi za kiafrika tumeipokea na kupractice Democracy in negative way.
Kazi ya upinzani sio kuelekeza serikali. Ni kuanika mapungufu ya kiutendaji ya serikali. Na ndicho wanachofanya. Unapotosha kwa mkusudi kuwa wanapinga Maendeleo.Hawajapinga ujenzi wa miundombinu. wanapinga taratibu kutofuatwa katika manunuzi eg. kutumia pesa bila idhini ya bunge, kukosa kuwa na vipaumbele sahihi eg. kujenga international airport chato huku maji shida, dawa shida, mikopo elimu ya juu shida, mishahara duni + hakuna nyongeza miaka 5 sasa etc..; kumnyima ajira CAG anayehoji upotevu wa 1.5T ; kukandamiza uhuru wa habari na kujieleza, kuweka 'mfuko' kwa rais mahakama na bunge, kuwepo mauaji, utekeji, kesi za kubambika etc; biashara ya ununuzi wabunge namadiwani waupinzani etc. Mambo haya yanafanyika chini ya ccm. Tunashukuru sana wapinzani wanavyo tuwekea wazi maovu haya. Mimi na Watanzania wote wasio wanafiki na wazalendo wa kweli kura zetu ni kwa LIS.U na wabunge na madiwani wa upinzani.
 
Back
Top Bottom