SWALI FIKIRISHI: Kwanini CCM wanawalaumu Wapinzani huku wao ndo watawala kwa miaka 59

Unajua maana ya upinzani wewe??? Ulitaka wasifie hata pale serikali hata inapotimiza wajibu wake??? Wakati wa mwalimu hakuwa na upinzani mbona watu walitembea pekupeku???? Embu nenda tena kasome roles za opposition parties acha kubweka
 
Safi umelewa vizuri saaaana .
 
Nakuapia magufuli hawezi kukubali mdahalo. Na ccm hawwezi kamwe kuruhusu huyu mgombea aende mdahalo na Lisu, labda miaka ijayo watakapokuwa na mgombea tofauti. Wanadanganya watu tumejenga shule, hospital, maji etc. Wanjua wanaongea na watu ambao hawana uwezo wa kuhoji uwiano wa hizo huduma na rasilimali tulizo nazo au naidadi ya watu. Wanajua wanaongea na watu wasio na uwezo wa kuhoji ccm; mefanya no ni kwa mika 60; iliyokaa Madara kani. Kwenye mdahalo Lisu atawauliza maswali ambayo watakosa majibu. Hawata kubali mdshalo ng'o.
 
Maendeleo mpaka yatangazwe TBC, huku mtaani hatuyaoni, mvua kidogo ya juzi imewaumbua
 
Hawana hoja miaka 59 wameshindwa kuleta maendeleo miaka mitano ndio wataweza , wengi ni vilaza wa kutupa wakiongozwa na PhD .
 
CCM wana laana
 
Changamoto nyingine kubwa Tanzania hatuna media au tuseme waandishi wanaoweza kuwa na ujasiri wa kuuliza maswali magumu kwa uelewa mkubwa ili wagombeaji waweze kukumbana na mtu mwenye uelewa mkubwa labda wako ila hawafanyi kazi na main stream media sababu ya weledi. Nadhani mtu kama General Ulimwengu angeweza tatizo wanachukuliwa kama wapinzani. Mimi naamini tunashida kubwa ya waandishi wa habari tuna wapasha habari tu wanachoambiwa wanaandika no questions wala uchambuzi.
 

Kwani basi Hao wanainchi wanaitaji kuambiwa? Si wanaona tu Hali halisi the way ilivyo

Kwani ww una haja ya kuambiwa serikali hakuna kitu imefanya kwenye jiji la dar es salaam?

Si mvua mmoja tu ya juzi umepata majibu yote
 
Uelewa wa watu ni tofauti. Sasa wabunge gani wanaopereka shida za wananchi bungeni kama si wapinzani ?!. Wenzao wa Ccm ni kupiga meza na kusifu serikali !!
 
Hiyo ni mbinu ya kuwahadaa na kuwasahaulisha , wale wasio wafahamu vyema. Ila kwa watu Makini hutambua Mara moja Kama hiyo ni hadaa.
 
Mimi nimekuelewa mkuu, nadhani waandishi wazuri tunao ila wamejazwa hofu na uoga, hapa kwetu kuhoji sana na kuonyesha uelewa mkubwa wa mambo ni dhambi! ndio maana unaona tuna uwezo wa kutoa waandishi hapa kwetu hadi kufanya kazi na media kubwa kama BBC, wale waandishi wa BBC wakikuandama na maswali kama hauko vzr kichwani unarusha matusi au ngumi kbs!
 
Hili sio kweli ila CCM ndio wanataka kuaminisha watu hivyo.
Upinzani siku zote wameikosoa CCM pale inapokua na projects ambazo hazina tija.

Upinzani wamekua wakidai projects zenye tija kwa ajili ya majimbon yao na kwa ajili ya Taifa kiujumla.

Upinzani Hawa pingi maendeleo ila Wana kosoa mnapokosea na kuwapa mawazo mbadala.
Infact pale Ccm inapopatia Upinzani huwa inakubali.

Tatizo ZAMA hii Serikali imekua ikonyesha pale Upinzani inapokataa tu na inajitahidi kuaminisha wananchi kwamba Upinzani Ni wapinga maendeleo. Sio kweli. Kwani wao Ni vichaa, kwani wao hawataki kujiongezea kukubalika kwa wananchi
 
Kwani basi Hao wanainchi wanaitaji kuambiwa? Si wanaona tu Hali halisi the way ilivyo

Kwani ww una haja ya kuambiwa serikali hakuna kitu imefanya kwenye jiji la dar es salaam?

Si mvua mmoja tu ya juzi umepata majibu yote
Haha!

Hivi unaijua shida tuliyokuwa tunaipata before ujenzi wa flyover ya ubungo??

Mwananyamala na baadhi ya maeneo ya kinondoni walivyo kuwa wanapata shida before ujenzi wa hizi streets roads!
Na mengine Mengi.

Usingethubutu kusema hili Jambo.

Haya mambo ya Mafuriko sometimes ni acts of God sababu hata London pia Mafuriko hutokea.
 

Kielelezo cha tatizo la nchi hii ni hiki hapa, wewe!! Hujui maana ya upinzani! Upinzani uko katika kutaka kufanya mambo kwa namna tofauti, huku wakielezea wana njia bora!! Ungekuwa na akili ungefahamu CCM ni mpinzani au mmoja wa wapinzani wa vyama vingine vya siasa!! Vyama vya siasa vipo ili kupata nafasi ya kuongoza, kwa hiyo ni kawaida watapinga na ni sahihi!! Na hata anachofanya CCM ni kuonesha kuwa njia zinazopendekezwa na vyama vingine vya siasa, sio nzuri na inashawishi iendee kupewa ridhaa!!

Hakuna chama cha siasa kinachokataa maendeleo. Vyama vinatofautiana katika njia za kufanya mambo na vipaumbele!!

Inasikitisha sana kijana kama wewe kuwa na mkwamo katika uelewa kwa kiasi hiki! Kazi ya vyama ni kushindana!! Unachokiita “kushauri na kuelekeza” ndio hasa kuonesha kuna njia tofauti! Nadhani wewe ukiambiwa leo 9 ni jibu la kitu gani, utasema 3x3. Utasahau hata 4+5 = 9, 18/2 = 9 na hata 10-1 =9!! Lakini kwa kuwa huna uwezo wa kutambua kuwa namba zote hizo hazifanani wala aljebra - hutajua kuwa matokeo hufikiwa kwa njia tofauti na wapinzani wanaomba ridhaa ya kutumia hizo njia tofauti na si ajabu wakipinga njia za CCM.

Ukiendelea kuwaza kwa ufinyu huu, hutasonga hata hatua moja, 2025 utakuwa hivi hivi ulivo leo!!
 
Ulisha elewa kwanini shetani analaumiwa siku zote?
 
Jiulize swali moja tu, kwanini unapokea malipo ya wewe kuandika ujinga humu?
Mwaga pombe kura kwa Mh Lisuu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…