Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

Kiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai.

Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na hatimae kupelekea kifo chake.
 
Sidhani kama upo Sahihi pasipo uthibitisho kusema CHADEMA WOOTE..ila wacha apingwe huyo bwana wa Zambarau, maana anataka kuhalalisha haramu kuwa halali..ni TAPELI tu la Mfumo
 
Pole, hakuna mwenye akili huko za kuweza kumpinga Zitto kwa hoja.......mtaishia kuzushazusha tu hili na lile baaaasi.
 
Umetumia algorithms zipi kujua kuwa wanamjadili yeye. Hizo ni fikra zako tu ndugu, kaa nazo mwenyewe.
Unàtembelea JF Kila wakati au umekuja tu muda huu kutokana na mvuto wa hii mada?!!!!
 
Kiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai.

Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na hatimae kupelekea kifo chake.
Swadaktaaaaa, inawezakana hii ndo sababu kubwa!
 
WE NI MPUUZI, MPUUZI MKUBWA. KWANINI NASEMA HIVYO? ISSUE YA ZITO NI NATIONAL INTEREST, PESA ZA TONE TONE NI INTERNAL MATTERS AMBAYO HAS GOT NOTHING TO DO WITH NATIONAL LIBERATION FROM CCM BLACK COLONIALISTS!
Oho oho ohohohohohohooooooooo!
Ahsante kwa kukiri kuwa Zitto ni baba lenu, ni mkubwa kuliko hivyo vipilikapilika vyenu vya kipimbi.
 
Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
Kwao hakuna cha kujadili. No Reform, No Election imeshuhudia Wana CCM kibao wanachukua fomu hadi wakachanganyikiwa na hapo Uchaguzi wenyewe bado.
Tone tone hakuna tena maana watu wanaona wanapigwa tu kwamba hakuna uchaguzi wakati maandalizi yanazidi kupamba moto.
 
Kiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai.

Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na hatimae kupelekea kifo chake.
Hakuna anayetaka uchaguzi bila reforms , ccm ikajiapishe tu no way
 
Back
Top Bottom