Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

Swali fikirishi: Kwanini chadema wanamjadili Zitto zaidi ya wanavyojadili matumizi ya tone tone?!!!!!

Kiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai.

Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na hatimae kupelekea kifo chake.
Ndivyo unavyojidanganya ee?
 
Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
Lini na wapi Chadema wamemjadili Zitto? Huyo toka alipofukuzwa Chadema ukurasa wake umefungwa, vinginevyo tuwekee hapa official stament ya Chadema ikimjadili Zitto tumalize ubishi.
 
Zitto muongo na mlaghai, kura sisi tumelinda sana toka enzi za Mzee wa Kilalacha 1995 hadi 2020 enzi za mwendazake - miaka yote hiyo CCM hawajashindwa kuiba.

Wengine waliojitolea kukinda kura waliishia kesi, ulemavu, kufikisiwa na kifo.

Sasa hiyu mzee anasema eti atalinda kura kwa style ya majimaji - hivi kuna kitu humo.

Dawa pekee ya CCM ni No Reforms No Elecrion.
 
Sidhani kama upo Sahihi pasipo uthibitisho kusema CHADEMA WOOTE..ila wacha apingwe huyo bwana wa Zambarau, maana anataka kuhalalisha haramu kuwa halali..ni TAPELI tu la Mfumo

hio haramu nyinyi mumeshaihalalisha mara ngapi?
 
Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
Zitto is irrelevant kwa huu upepo wa sasa!

Njia anayopita ni so obvious na hana jipya zaidi ya maslahi yake na watu wa hache wanaomzunguka!

NRNE!
 
Kiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai.

Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na hatimae kupelekea kifo chake.
Hakuna chama kinacho weza kuzuia uchaguzi ila ni wananchi wenyewe wahamapo amua ata vifaru vitasanda.ANC siyo iliyo walazimisha makaburu kutoa uhuru ila wananchi wa Afrika kwa umoja wao ndiyo walio shinikiza Makaburu kutema Bungo.Afrika kusini ilikuwa na maendeleo makubwa sana kuliko Nchi yetu lakini watu hawakuridhika nayo wakataka uhuru wao na sisi tutakapo uitaji uhuru wetu tunaweza tukauchukua kwa sasa waache wanyonye nyonye vya mwisho mwisho
 
Kiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai.

Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na hatimae kupelekea kifo chake.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI MWAKA HUU
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE ENDA KUSIMAMIA UCHAGUZI

No reforms no election
 
Back
Top Bottom