majebelenzoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 746
- 1,001
Ndivyo unavyojidanganya ee?Kiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai.
Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na hatimae kupelekea kifo chake.
Lini na wapi Chadema wamemjadili Zitto? Huyo toka alipofukuzwa Chadema ukurasa wake umefungwa, vinginevyo tuwekee hapa official stament ya Chadema ikimjadili Zitto tumalize ubishi.Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
Sidhani kama upo Sahihi pasipo uthibitisho kusema CHADEMA WOOTE..ila wacha apingwe huyo bwana wa Zambarau, maana anataka kuhalalisha haramu kuwa halali..ni TAPELI tu la Mfumo
Wewe kwanini unajadili CHADEMA kuliko bodaboda amabaye ANAMKAZA MKE WAKO?? hapo mtaani kwenu??Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
BwahabwahahahahaaaWewe kwanini unajadili CHADEMA kuliko bodaboda amabaye ANAMKAZA MKE WAKO?? hapo mtaani kwenu??
Kwanini wewe unataka tujadili tonetone na tusimjadili Zitto? Tazama uso kama nguruwe poriHali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
Zitto is irrelevant kwa huu upepo wa sasa!Hali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
Pole kwa maumivu ya kupoteza MARINDA 🤣🤣🤣😀😀Bwahabwahahahahaaa
Mjomba naona umeshapigwa tone tone unajiharishia tu Sasa. Pole nyumbu
Hakuna chama kinacho weza kuzuia uchaguzi ila ni wananchi wenyewe wahamapo amua ata vifaru vitasanda.ANC siyo iliyo walazimisha makaburu kutoa uhuru ila wananchi wa Afrika kwa umoja wao ndiyo walio shinikiza Makaburu kutema Bungo.Afrika kusini ilikuwa na maendeleo makubwa sana kuliko Nchi yetu lakini watu hawakuridhika nayo wakataka uhuru wao na sisi tutakapo uitaji uhuru wetu tunaweza tukauchukua kwa sasa waache wanyonye nyonye vya mwisho mwishoKiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai.
Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na hatimae kupelekea kifo chake.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURAKiburi chao kimeondoka, akili imeanza kuwarudi na kufahamu kwamba hawawezi kuzuia uchaguzi pekee yao. Wanahitaji kuunganisha nguvu na vyama vingine vya upinzani. CDM wanarusha mateke ya mwisho ya punda anaepoteza uhai.
Tuliwaeleza tangu awali, Lissu na genge lake wamefanikiwa kuigawa CDM na hatimae kupelekea kifo chake.
Huwa wana presenr kadi zao unaziona na ku prove kwamba ni CDM kabla hawajaanza kukujadili wewe ZittoHali ipo hivyo kuanzia kule juu mpaka chini, tatizo nini' mbona inashangaza sana?!!!!!!
Yaani ni zaidi ya wapumbavuChadema wapumbavu sana