Naona makada na viongozi wa chama tawala wanapigia sana chapuo hii kitu. Kuwa lazima tukope ili kutekeleza maendeleo ya taifa letu . Na pia wanasisitiza kuwa tukisubiri kukusanya mapato ili kutekeleza maendeleo tutachelewa.
Swali je mapato na tozo havikusanywi? Je, hayatoshi?
Je tumeamua kutumia mikopo ili kufanikisha maendeleo haraka? Na kwa nini mikopo?