Swali fupi : Ukiacha ualimu, ni taaluma gani huwezi kumruhusu mwanao asomee ?

Binafsi kwa TANZANIA hii ya Sasa mtoto wangu akisema anasomea ualim namfukuza kwangu saa hiyo 😂🙏😂. Aende akaish kwenye ofisi za CCM huko.
Huyu mtu muoneeni huruma tu, ni juzi kati tu alitaka kujiu kwa kukosa 20,000 tu 👇👇
 
Huyu mtu muoneeni huruma tu, ni juzi kati tu alitaka kujiu kwa kukosa 20,000 tu 👇👇
Kaka. Dah. Nakubari Sana Sana Sana unavyo onyesha kunikumbuka .

Ila mze. now Am gud.
Wenye roho Safi wamenibeba Sana.

Wameniombea Sana. ... Sema tu ni vile watu hawapendi kujionyesha na Wala kutajwa tajwa.

watu wanajari juu ya maisha ya wengine, wamenisaidia Sana na Wamenishauri nibadili jina JF niendelee kuenjoy maisha .

Ila Sasa watukutu Kama wewe ndo ivi. Hamwezi kufurah mnapo ona mtu kakomboka ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…