Swali fupi : Ukiacha ualimu, ni taaluma gani huwezi kumruhusu mwanao asomee ?

Swali fupi : Ukiacha ualimu, ni taaluma gani huwezi kumruhusu mwanao asomee ?

Ukiona unampangia mtoto wako cha kusoma tena kwa kumlazimisha ujue kwamba huyo mtoto wako hana akili ambazo amerithi kutoka kwako.
 
Je tungefika hapa bila juhudi za walimu hauoni ni wazazi wangapi hadi Leo wanalipa mamilion ya pesa kwa ajili ya Elimu .
 
Binafsi kwa TANZANIA hii ya Sasa mtoto wangu akisema anasomea ualim namfukuza kwangu saa hiyo 😂🙏😂. Aende akaish kwenye ofisi za CCM huko.
Zipo nyingi sana HR, sociology, ni baadhi ya course ambazo kwa sasa hazina soko, let alone ajira ni za kutafuta kwa tochi
 
Elimu uliyo nayo mpaka ukaweza kuandika huu uzi kakupa mwalimu! Dharau za nini? Tafuta namna tu ya kuboresha maisha ya waalimu.
 
Dah niliona sehemu huyu mtu anaongelea, kaandika nusu nusu kuhusu biashara ya urembo wa pikipiki, kaandika nusu nusu. Nikaona ngoja nicheki post zake labda kuna sehemu kaandika zaidi nakutana na hii.

Nchi inasikitisha sana hii
 
Kati ya umri wako na muonekano wako, kipi kikubwa...??
 
Back
Top Bottom