Swali fupi : Ukiacha ualimu, ni taaluma gani huwezi kumruhusu mwanao asomee ?

Kaka. Dah. Nakubari Sana Sana Sana unavyo onyesha kunikumbuka .

Ila mze. now Am gud.
Wenye roho Safi wamenibeba Sana.

Wameniombea Sana. ... Sema tu ni vile watu hawapendi kujionyesha na Wala kutajwa tajwa.

watu wanajari juu ya maisha ya wengine, wamenisaidia Sana na Wamenishauri nibadili jina JF niendelee kuenjoy maisha .

Ila Sasa watukutu Kama wewe ndo ivi. Hamwezi kufurah mnapo ona mtu kakomboka ....
Kwa uzi huo unaonekana wewe ni maskini mbwa takataka

Kama imefika hatua hata kuingiza 20,000 huwezi kwa nini uwadharau watu wanaoingiza 10,000?

Kwa tambo hizo inatakiwa afanye ambaye hajawahi kupitia dhiki kama zako hadi kufikia kutaka kujiua
 
Kaka. Dah. Nakubari Sana Sana Sana unavyo onyesha kunikumbuka .

Ila mze. now Am gud.
Wenye roho Safi wamenibeba Sana.

Wameniombea Sana. ... Sema tu ni vile watu hawapendi kujionyesha na Wala kutajwa tajwa.

watu wanajari juu ya maisha ya wengine, wamenisaidia Sana na Wamenishauri nibadili jina JF niendelee kuenjoy maisha .

Ila Sasa watukutu Kama wewe ndo ivi. Hamwezi kufurah mnapo ona mtu kakomboka ....
Acha DHARAU mkuu
Unadharau taaluma za wenzako wakati we mwenyewe KAPUKU tu huna mbele wala nyuma
 
Sijui kwanini taaluma ya Ualimu ina dharaulika hivi, akati ndio taaluma inayozalisha Taaluma zingine.

Ifike hatua Serikali Ihi heshimishe hii taaluma.
Sipendi kuona walimu wakinangwa, wametutoa ujinga, wametufunza vingi ambayo hatukuvijua, wametulea tuwapo shuleni.

Hongereni sana walimu. Nawapenda mnoo.
 
Mimi nilifikiri machawa ni kwa ajili ya mama tu. Kumbe hata kwa walimu mpo
 
Unaandk hvyo wakt ndugu na jamaa walikuzunguka na kukusapot ni hao walimu
 
Binafsi kwa TANZANIA hii ya Sasa mtoto wangu akisema anasomea ualim namfukuza kwangu saa hiyo πŸ˜‚πŸ™πŸ˜‚. Aende akaish kwenye ofisi za CCM huko.
Mirembe ulitakiwa kuwa VVIP... Bila walimu ungeweza kuandika huu uharo wako?
 
Binafsi kwa TANZANIA hii ya Sasa mtoto wangu akisema anasomea ualim namfukuza kwangu saa hiyo πŸ˜‚πŸ™πŸ˜‚. Aende akaish kwenye ofisi za CCM huko.
Sasa CCM wameingiaje hapo 🀭🀣
 
Back
Top Bottom