Swali fyatu: je, Makonda anafunua udhaifu wa IDARA na mamlaka ya Uteuzi?

Jibu ni kuwa idara siyo dhaifu na wala hazina udhaifu.nali zinatoa taarifa na taarifa zinafanyiwa kazi na mamlaka. Usilazimishe upewe majibu yaliyo katika akili yako.huo ni ujinga na ujuha.
Juha ni watetezi wa panya wanaotafuna boti letu la mhogo,hata kutaka kutuzamisha woteπŸ€”
 
Makonda anapiga kazi hadi wajiulize kwa nini aliteuliwa huyu jamaa?
Mungu ampe tu hii nchi baada ya mama Samia.
 
Jibu ni kuwa idara siyo dhaifu na wala hazina udhaifu.nali zinatoa taarifa na taarifa zinafanyiwa kazi na mamlaka. Usilazimishe upewe majibu yaliyo katika akili yako.huo ni ujinga na ujuha.
Bado hujasema
 
Mbumbumbu wote wanaelewa unavyoelewa wewe.
Swali pale juu linahitaji matumizi ya akili na siyo mihemko ya kifataki fataki
Ni mtu mpumbavu tu asiyeijua nguvu ya Makonda na Kiti chake kwa sasa

Lakini ni mtu mbunyembunye tu asiyejua kwanini baada ya kuondoka Polepole Waenezi Wawili Shaka na Sophia walichemka na kutumbuliwa lakini Komredi Makonda ameiweza 😁

Mwenezi wa CCM anaingia popote pale Hata hapo Chadema na kufanya yake!
 
... Haya ya kudhulumiana mtu na mtu au kucheleweshwa kulipwa madai na halmashauri ni mambo yatakayoendelea kushughulikiwa kila siku,, ...
Kwa nini msimalize hayo matatizo badala yake unakuta raia mwaka mzima analalamikia jambo moja?.

Jana pale Dodoma namsikia jaji mkuu anamuomba Rais eti mwaka ujao wa fedha mahakama ipewe fungu kuanzisha kitengo cha kutatua madai, kero nk za kisheria 😒!.

Wakati wa late jeshi la mtu mmoja mahakama hiyo hiyo ilimuomba JPM fedha za maboresho ili mahakama iwe na uwezo, ipo wazi hadi sasa mahakama iliwezeshwa sana wkt wa JPM hata sasa kwa Madame president, sasa why wasitumie kile walichokuwa wanalilia?.

Nchi hii kuna ombwe la utendaji hata haya tunayosikia kutoka kwenye episode za Makonda ni kizungumkuti, sababu yote ni serikali hiyo hiyo na watu ni hao hao.

Nimesoma mahali hii: "
MATATIZO YAKIISHA TUTAWAELEZA NINI WANANCHI WATUELEWE?"
 
Atakuwa ameiweza tu baada ya kipimo cha chafuzi zifuatazo,iwapo naye ajaitafuna boti tunayosafiria,mambo yale yale😁
 
Watafuna boti tunalosafiria ni wengi mno,hata wanaojitutumua leo kwakuwa chafuzi ni keshoπŸ˜…
 
Tukisema Makonda anaivua nguo serikali na kujijenga yeye mwenyewe kuna chawa wanasema tunamuonea wivu.
 
Haya ona huyu kunguni naye anavyoropoka
 
Kumbuka naishi ndani ya korido za Lumumba.
πŸ˜€
 
Mahakama zetu zimejaa makada wasioruhusu fikra mbadala wala kuthamini utendaji haki. Kama Polepole alisema wazi kwamba kuna Jaji Mahakama Kuu aliwaambia CCM kuwa endapo kuna wanasheria wanasumbua utawala basi wawapelekee wao wawaadabishe kwa kuwavua uwakili..

Nchi ya Tanzania inaendeshwa na kizazi kilicholaaniwa hadi kizazi cha kumi... Tusishiriki laana zao
 
 

Attachments

  • JamiiForums-1414302355.jpg
    35.4 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…