Swali Fyatu la Jumamosi: Hili Soko la Bilioni 32 litakuwa na Vitu Gani Ndani?

Mi nadhani ilitakiwa kwanza design itoke na kisha mthaminishaji aseme litagharimu pesa ngapi! Sasa kutaja bei ni sawa na yule aliyeenda dukani na kusema nataka jeans ya elfu thelathini!
 
Muwe mnakumbuka Dar ndio Jiji kuu la biashara tz linahitaji majengo makubwa na ya kisasa kelele ni za Nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…