PostGE2025 Swali Fyatu: Madai ya kuletwa Mamluki Oktoba 29 yametolewa maelezo popote?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,256
Reaction score
44,597
1000233919.jpg

Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?

Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?

Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?
 
Truth is no longer important...; Watu vain ambao wapo tayari kusema wameshinda 98 percent (pamoja na shida zote zile) ingawa hata wangesema 51 bado wangeshinda, unategemea watakubali kwamba walifanya mauaji ? Au watakuuliza mauaji gani ?
 
Maswali mengine;

1. Rais alikiri kuwa vijana kutoka nchi jirani waliingia nakufanya vurugu na baadhi walikamatwa, kesi imefunguliwa mahakama gani?

2. Rais alikiri kuwa vijana walifadhiliwa na NGO's za ndani na za nje, ngapi zimefutiwa usajili, ngapi zimeshitakiwa kwa uchochezi?
 
View attachment 3516226

Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?

Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?

Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?
Hilo anaomba kila siku lisahaulike, anajua kuwa public enemies number one and number two ni yeye na huyo kibaka mwanae Abdul.
Kujaribu kumtetea au kutoa ufafanuzi wa aina yoyote ile anajua patawaka moto kwa mtiririko wa matusi ya kila aina, watu wana hasira na uchungu hawajui ndugu zao walipo na huku muhusika mkuu in terms of financing and facilitating ni Abdul hivyo ni kwa kuwa tu watu hawana means za kupambana kulipiza kisasi lakini given a chance watafurahia revenge itakavyokuwa. Hii ni mada sensitive na bi Mipasho alivyo na uwezo mdogo wa kuongea kwa kutumia akili akithubutu tu kuongea atakuwa ametengeneza headlines everywhere.
 
View attachment 3516226

Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?

Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?

Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?
Nyie wote ni wahamasishaji maandamano pamoja na akina MangeKimambi, Maria Sarungi na Rachel Dangwa. Bila kuwasahau akina Gwajima, Polepeole nk.

Hakuna muda wa kuwajibu. Majibu mlipata tarehe 29/10 kwa risasi mlizopigwa. Mlikuwa mmejipanga lkupindua Serikali, sijui walikuahidi nafasi gani baada ya mapinduzi

Amani ya Tanzania ni muhimu kuliko majibu ya maswali yako
 
Yaliyopita si ndwele

Tungoje ripoti ya tume huru ya uchunguzi wamatukio ya October 29
Hiyo tume huru itaundwa lini na itaundwa na nani? Mlalamikiwa namba moja na wahanga wa maandamano ni Samia je ni nani ataunda tume huru na wajumbe wa tume watatoka kwenye kada zipi na nchi zipi, tume inalazimu iwe na wajumbe majority kutoka nje ya nchi kwa kuwa mlalamikiwa namba moja ni Samia.
 
Nyie wote ni wahamasishaji maandamano pamoja na akina MangeKimambi, Maria Sarungi na Rachel Dangwa. Bila kuwasahau akina Gwajima, Polepeole nk.

Hakuna muda wankuwajibu. Majibu mlipata tarehe 29/10 kwa risasi mlizopigwa. Mlikuwa mmejipanga lkupindua Serikali, sijui walikuahidi nafasi gani baada ya mapinduzi

Amani ya Tanzania ni muhimu kuliko majibu ya maswali yako
Amani ya kina Ali Kibao na familia zao au amani ya Abdul na mama yake pamoja na chawa wao?
 
Ulitaka kuunda wewe Bro 😅😅😅
Mtuhumiwa anajiundia tume kujichunguza yeye mwenyewe??
Hapo angeacha vyombo vingine huru viunde hiyo kamati ya uchunguzi. Watarudi na majibu yaleyale kwamba nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi kwa waandamaji na wale waliofuatwa majumbani kwao, watu kutoka jirani waliingia wakafanya vurugu,Vijana walifuata mkumbo,Walitaka kupindua nchi,Waliua askari wengi na kuchoma moto miundominu na mali za serikali na raia ..Wanaharakati,Chadema na TEC walihamasisha vurugu!... Watapendekeza kukamatwa kwa wanaharakati hao na TEC mara moja na kufunguliwa kesi za uhaini na uchochezi, yeye kashajitoa hapo..KWISHA!!!.😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom