PostGE2025 Swali Fyatu: Madai ya kuletwa Mamluki Oktoba 29 yametolewa maelezo popote?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
View attachment 3516226

Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?

Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?

Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?
Hayo maelezo yanawaza kutolewa tu pindi mbuyu ukiwa umeshaangushwa,vinginevyo utayapata majibu baada ya maisha ya duniani.
 
Wananchi wana ushahidi hata yeye asipoongelea , watu wamekutana na hao mamluki mitaani wamezungumza nao bahati nzuri lafudhi ya kiganda wanaijua.

Mbegu waliyoipanda ya kisasi kuna siku italipa inaweza kuwa wiki, miezi au miaka ila baadae wasije kulaumu watu kwamba wamefikaje hapo kwa sababu waliojeruhi ni wepesi kusahau kuliko aliyejeruhiwa .

Mimi nimeanza kutumia Twitter muda mrefu kidogo ila sikuwahi kumjua yule kijana anayeitwa Sativa , yule kijana ukichunguza kule Twitter /X hakua na ushawishi mkubwa ila tukio moja tu limeweza kubadili upepo wake kule katika ule mtandao, hao policcm kutwa wanashinda katika ukurasa wake , jibu ni kwanini sote tunajua.

Kwa ufupi tu waasi /wakaidi / walipa visasi hutengenezwa , na sio kwamba hujitengeneza , kwa tukio lake Sativa miaka mingi itapita akiwa hai hawezi kuja kuwasamehe waliomfanyia vile hasa kwa mfumo huo wa utoaji haki wa kusikiliza CCM , hakuna hata hatua moja ilichukuliwa tangu tukio lile.

Nawaacha na swali hili kwa ushawishi aliokuwa nao Sativa katika maandamano ya October 29 je siku Sativa akipata kikundi cha kumuunga mkono cha watu 1000 wlwenye silaha za moto na wakiwa wameumizwa na utawala dhalimu hali itakuwaje?
 
Wananchi wana ushahidi hata yeye asipoongelea , watu wamekutana na hao mamluki mitaani wamezungumza nao bahati nzuri lafudhi ya kiganda wanaijua.

Mbegu waliyoipanda ya kisasi kuna siku italipa inaweza kuwa wiki, miezi au miaka ila baadae wasije kulaumu watu kwamba wamefikaje hapo kwa sababu waliojeruhi ni wepesi kusahau kuliko aliyejeruhiwa .

Mimi nimeanza kutumia Twitter muda mrefu kidogo ila sikuwahi kumjua yule kijana anayeitwa Sativa , yule kijana ukichunguza kule Twitter /X hakua na ushawishi mkubwa ila tukio moja tu limeweza kubadili upepo wake kule katika ule mtandao, hao policcm kutwa wanashinda katika ukurasa wake , jibu ni kwanini sote tunajua.

Kwa ufupi tu waasi /wakaidi / walipa visasi hutengenezwa , na sio kwamba hujitengeneza , kwa tukio lake Sativa miaka mingi itapita akiwa hai hawezi kuja kuwasamehe waliomfanyia vile hasa kwa mfumo huo wa utoaji haki wa kusikiliza CCM , hakuna hata hatua moja ilichukuliwa tangu tukio lile.

Nawaacha na swali hili kwa ushawishi aliokuwa nao Sativa katika maandamano ya October 29 je siku Sativa akipata kikundi cha kumuunga mkono cha watu 1000 wenye silaha za moto hali itakuwaje?
Nasubiri jibu kutoka kwa wale mamluki wa buku7
 
Kuthibitisha inahitaji physical presence ya kwako Mzee Mwanakijiji hapa Tanzania.
Je umerudi?
Nilikutambua kama muumini wa kutumia hoja kufanya mabadiliko mbona recently ni kama umehamaki na kutaka kulazimishia njia zisizofaa kuleta mabadiliko?nini kimekukumba haswa mara baada ya oktoba 29?
Ushauri:Bado unayo fursa,haki,wajibu na weledi wa kuleta mabadiliko kwa njia bora isiyo na madhara kama ile ya oktoba 29.
stick on it ...live your normalcy and try to get the facts righr.
Hakika umenisikitisha sana

Usiniwekee maneno mdomoni
Kaugulie huko
 
Kwa hiyo mauaji yale yalifanywa na vyombo vyetu vya dola ili kuhakikisha Samia anatangazwa Rais? Na walifanya hivi bila mamluki kutoka popote? Hata mimi nilikuwa nashangaa...
Watu wanaandamana siku ya uchaguzi, hawana mabango yenye ujumbe wala hayana viongozi, hayo siyo maandamano bali ni riots.

Whether unahusisha na kutangazwa kwa Samia or not, lakini nguvu iliyotumika kutoka JWTZ na TANPOL ilikuwa sahihi. Maana bila risasi za moto sasa hivi tungekuwa tumesambaratika kama Sudan. Pengine hata wewe Mzee Mwanakijiji ungekuwa marehemu tayari
 
Kamuulize Samia mfugaji wako, anavyoishi maisha yake baada ya kuua waTanzania hawa ambao hawakuwa na hatia yoyote.
Nanyi washirika wake mnahangaika humu majukwaani kwa sababu zipi hasa kama siyo matokeo ya mashujaa hawa mliokatisha uhai wao; na sasa munaishi kama mpo jela; hamjui kesho yenu ipoje?
Unakuja hapa kuendeleza vitisho ukijuwa kwamba hiyo ndiyo njia pekee b itakayowasaidia kudumu madarakani.
Wewe ni mzee lakini una akili ndogo kuliko mtoto wa primary school
 
Unaandika usichokiamini wewe mwenyewe; kwa vile wewe ni chizi tu.
Mtu mzima na akili zako kichwani utafurahia waTanzania kuuliwa kama mifugo; hili pekee haliwezi kukuonyesha wewe mwenyewe kwamba unayo kasoro kubwa sana kichwani mwako?

Ni kitu gani hicho kinachokufanya uone maisha ya binaadam mwenzio kutokuwa na thamani kabisa. Huyo Samia aliyesababisha haya yote wewe anakuhusu nini maishani mwako.

Halafu unakuja hapa na kuandika upuuzi mtupu.

Nionyeshe katika maandishi yako yote uliyowahi kuandika humu JF, tokea 2012; ambayo wewe unajivunia kuwa umechangia la maana sana katika maslahi ya nchi yetu. Nionyeshe hata andiko moja tu unalojivunia wewe katika michango yako JF.

Nieleze katika hayo maandishi yangu uliyojibu ni sehemu gani inayokufanya uone kuwa yameandikwa na mtu "mwenye akili ngogo kuliko mtoto wa primary"!
 
Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?

Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?

Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?

Mimi napenda CCM
 
Unashabikia sana vurugu badala ya amani, ndiyo maana nimekudharau.

Kikatiba Samia ni Rais halali wa Tanzania whether mnakubali au mnakataa. Nia yeyote ya kushawishi kumtoa kwa nje ya sanduku la kura au kwa njia ya kikatiba ni uhaini. Sikutegemea katika umri wako ushabikie uchafu huo
 
Hiyo katiba ya wapi hiyo; mliyotunga nyinyi?
Samia ni HARAMU, na serikali anayoiongoza sasa hivi ni HARAMU.

Aliyeleta vurugu humjui, halafu unajifanya unazo akili?

Mtu duni kama wewe utaanzia wapi "kunidharau"?
 
Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?

Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?

Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?
Maswali ni mengi
 
Hiyo katiba ya wapi hiyo; mliyotunga nyinyi?
Samia ni HARAMU, na serikali anayoiongoza sasa hivi ni HARAMU.

Aliyeleta vurugu humjui, halafu unajifanya unazo akili?
Aliyeleta vurugu ni magenge ya waharibifu na wezi wa tarehe 29/10. Bila risasi pengine hata wewe ungekuwa marehemu kufika sasa
 
Back
Top Bottom