PostGE2025 Swali Fyatu: Madai ya kuletwa Mamluki Oktoba 29 yametolewa maelezo popote?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuthibitisha inahitaji physical presence ya kwako Mzee Mwanakijiji hapa Tanzania.
Je umerudi?
Nilikutambua kama muumini wa kutumia hoja kufanya mabadiliko mbona recently ni kama umehamaki na kutaka kulazimishia njia zisizofaa kuleta mabadiliko?nini kimekukumba haswa mara baada ya oktoba 29?
Ushauri:Bado unayo fursa,haki,wajibu na weledi wa kuleta mabadiliko kwa njia bora isiyo na madhara kama ile ya oktoba 29.
stick on it ...live your normalcy and try to get the facts righr.
Hakika umenisikitisha sana
 
Hujamjibu zaidi umemtisha kama hoja zake zimekuchoma
 
View attachment 3516226

Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?

Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?

Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?
Muzee wa kijiji?Utekaji umeisha au uko tayari hata ukitekwa?Maswali mengine yanachoma kama moto wa mvuke!Akina Mwamba,Mwalimu wa darasa la siii hasaa na wengine lukuki ama kubambikiwa vyesi mchongo ama kupotezwa mapema.Ila Mzee wa kijiji aminia wewe mkongo hivyo umeshakwepa mishale mingi hivyo uzoefu upo,wajukuu tunakuamini na kukutegemea,mkia tu ndio uliosalia na huenda ndiyo dawa yenyewe!
 
Kuthibitisha inahitaji physical presence ya kwako Mzee Mwanakijiji hapa Tanzania.
Je umerudi?
Nilikutambua kama muumini wa kutumia hoja kufanya mabadiliko mbona recently ni kama umehamaki na kutaka kulazimishia njia zisizofaa kuleta mabadiliko?nini kimekukumba haswa mara baada ya oktoba 29?
Ushauri:Bado unayo fursa,haki,wajibu na weledi wa kuleta mabadiliko kwa njia bora isiyo na madhara kama ile ya oktoba 29.
stick on it ...live your normalcy and try to get the facts righr.
Hakika umenisikitisha sana
Hujamjibu zaidi umemtisha kama hoja zake zimekuchoma
Usiniwekee maneno mdomoni
 
Hiyo tume huru itaundwa lini na itaundwa na nani? Mlalamikiwa namba moja na wahanga wa maandamano ni Samia je ni nani ataunda tume huru na wajumbe wa tume watatoka kwenye kada zipi na nchi zipi, tume inalazimu iwe na wajumbe majority kutoka nje ya nchi kwa kuwa mlalamikiwa namba moja ni Samia.
Namlaka ya kuteua wajumbe wa tume ni ya Rais kisheria. Kwa msingi huo, Rais ndiye mwenye uwezo wa kufanya maamuzi na kuzingatia vigezo anavyoona vinafaa katika uteuzi huo.
 
EEEeeeeeNNnnnHhhEEEeeee!

hivi watu hamchoki. Nani atoe maelezo juu ya ulaghai?

Ukitaka maelezo na kwa bahati nzuri upewe hayo maelezo, basi ni kama yale ya zile asili mia 98 za ushiundi; kwa sababu uchaguzi ulifanywa kuwa rahisi sana kwa wapiga kura!
Sasa nifahamishe wewe ulielewa kitu gani katika maelezo ya aina hiyo; lakini hayo ni maelezo!

Kwa bahati mbaya sijasoma ulichoandika chini ya kichwa cha mada yako, lakini sidhani kuwa haya nilliyoeleza hapa yatakuwa nje ya maudhui ya maelezo yako ndani ya mada.
 
Namlaka ya kuteua wajumbe wa tume ni ya Rais kisheria. Kwa msingi huo, Rais ndiye mwenye uwezo wa kufanya maamuzi na kuzingatia vigezo anavyoona vinafaa katika uteuzi huo.
Kwa nini ahangaike na kuteua tume wakati anaouwezo wa kueleza chochote anachoona yeye kinafaa!

Hata hivyo najuwa napoteza muda wangu bure kujibu mtu kama wewe.
Si neno maadam nishaandika.

Ukinikribisha rasmi, nitarudi haraka nikiwa chizi kama wewe.
 
A legitimate president not an illegitimate president, that point should be emphasized.
Secondly accused number one on the matter can't, shouldn't and definitely hasn't the moral authority, hasn't the credibility and hasn't the legitimacy to select those who supposedly are gonna be investigating her. The bigger picture here is the fair, just and credible findings.
 
Haya mambo lazima yawatibue nyongo wahamasishaji maandamano. Mliamini kabisa mtapindua nchi kwa posts zenu za kwenye mitandao ya jamii
 
She is a legitimate President as per constitution that we cherish. There's no any accused person so far in any court of law. You are just delusional
 
IMG_20251203_181938.jpg

If this 👆🏾 is your constitution and me wondering is being delusional then you’re pathetically stupid.
 
View attachment 3516226

Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?

Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?

Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?
Kitu Zina,akili ndogo, yaani unaamini nchi huru inayoajiri wanajeshi wengi kila siku,yenye majeshi mengi polisi,magereza,uhamiaji, TISS,ilihitaji kuingiza jeshi la nchi nyingine kuzuwia vurugu mikoa sita?
Kuamini Abdul,mtoto wa rais,mfanyabiashara kuwa na nguvu juu ya majeshi na vyombo vya usalama wa nchi,si tu ujinga bali ni ujauzito wa kifikra unaosikitisha hasa kwa mtu wa umri na kaliba yako
 
You are shenanigan if expected that the state apparatus would entertain the 29/10 riots aimed to overthrow the legitimate government in power.

Come again and face the wrath of our TANPOL
Kwa hiyo mauaji yale yalifanywa na vyombo vyetu vya dola ili kuhakikisha Samia anatangazwa Rais? Na walifanya hivi bila mamluki kutoka popote? Hata mimi nilikuwa nashangaa...
 
You are shenanigan if expected that the state apparatus would entertain the 29/10 riots aimed to overthrow the legitimate government in power.

Come again and face the wrath of our TANPOL
We're all game, just wait and see.
 
Haya mambo lazima yawatibue nyongo wahamasishaji maandamano. Mliamini kabisa mtapindua nchi kwa posts zenu za kwenye mitandao ya jamii
Kamuulize Samia mfugaji wako, anavyoishi maisha yake baada ya kuua waTanzania hawa ambao hawakuwa na hatia yoyote.
Nanyi washirika wake mnahangaika humu majukwaani kwa sababu zipi hasa kama siyo matokeo ya mashujaa hawa mliokatisha uhai wao; na sasa munaishi kama mpo jela; hamjui kesho yenu ipoje?
Unakuja hapa kuendeleza vitisho ukijuwa kwamba hiyo ndiyo njia pekee b itakayowasaidia kudumu madarakani.
 
Back
Top Bottom