Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Welcome back dude π₯π₯π₯π₯Msigwa tunaomba majibu
RAIS HAWEZI KUWA MTU WA KUJIBU UZUSHI WA WATU WASIOJITAMBUA.
Mkuu, welcome back! Tulikuwa tunahofia kwamba Serikali ya Majambazi imekufanyia what they do best!Msigwa tunaomba majibu
umerudiMsigwa tunaomba majibu
Shetani hajawahi kumshinda MunguMkuu, welcome back! Tulikuwa tunahofia kwamba Serikali ya Majambazi imekufanyia what they do best!
Hilo anaomba kila siku lisahaulike, anajua kuwa public enemies number one and number two ni yeye na huyo kibaka mwanae Abdul.View attachment 3516226
Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?
Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?
Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?
Nyie wote ni wahamasishaji maandamano pamoja na akina MangeKimambi, Maria Sarungi na Rachel Dangwa. Bila kuwasahau akina Gwajima, Polepeole nk.View attachment 3516226
Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga tough...yametolewa maelezo yoyote na yeyote kuhusu madai haya au wamekubali kuwa yote yaliyofanyika yalifanywa na watu wetu?
Swali la nyongeza: Mtoto wa Samia ametajwa sana kwenye mauaji haya kuna mahali popote Samia amekanusha lolote la kumhusisha mwanae na Uchafuzi Mkuu au ndiyo ukimya maana yake kukubali?
Swali la Pili la Nyongeza: Je ni kweli mtoto huyo anayetajwa ameingizwa kwenye ajira serikalini katika TISS na kupewa wadhifa unaomstahilisha ulinzi na marupurupu fulani. Ana cheo gani serikalini?
Hii aliyojiundia mwenyewe auπ πYaliyopita si ndwele
Tungoje ripoti ya tume huru ya uchunguzi wamatukio ya October 29
Ulitaka kuunda wewe Bro π π πHii aliyojiundia mwenyewe auπ π
Hiyo tume huru itaundwa lini na itaundwa na nani? Mlalamikiwa namba moja na wahanga wa maandamano ni Samia je ni nani ataunda tume huru na wajumbe wa tume watatoka kwenye kada zipi na nchi zipi, tume inalazimu iwe na wajumbe majority kutoka nje ya nchi kwa kuwa mlalamikiwa namba moja ni Samia.Yaliyopita si ndwele
Tungoje ripoti ya tume huru ya uchunguzi wamatukio ya October 29
Amani ya kina Ali Kibao na familia zao au amani ya Abdul na mama yake pamoja na chawa wao?Nyie wote ni wahamasishaji maandamano pamoja na akina MangeKimambi, Maria Sarungi na Rachel Dangwa. Bila kuwasahau akina Gwajima, Polepeole nk.
Hakuna muda wankuwajibu. Majibu mlipata tarehe 29/10 kwa risasi mlizopigwa. Mlikuwa mmejipanga lkupindua Serikali, sijui walikuahidi nafasi gani baada ya mapinduzi
Amani ya Tanzania ni muhimu kuliko majibu ya maswali yako
Mtuhumiwa anajiundia tume kujichunguza yeye mwenyewe??Ulitaka kuunda wewe Bro π π π
Umerudi mkuu? Mungu ni mwema! Tukafikri labda ulipigwa risasi na mamluki wa Samuya kwenye maandamano! Maana ulipotea siku hiyo hiyo!Msigwa tunaomba majibu