Swali gani hupendi kuulizwa?

Kuna maswali mazuri tu kuyajibu,sasa kuna maswali mtu anakuuliza hata hayamuhusu ,mtu mmejuana siku mbili anataka ajue hadi majina ya watoto,mpo wangapi kwenu!!?kaa!!
Unakunywa pombe ?
Mara ya mwisho kufanya mapenzi lini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una wanaume wangapi(bora msiwe mnauliza tu
 
swali nisilolipenda aisee binti aniulize "umenipendea nini..!!!" yaan silipendi..!!!!
 
Yaan utafikiri wanataka kukuajiri,mi kuna wakaka wawili wananipenda hawaniulizi kuhusu kazi nafanya hawahitaji kazi yangu wananitaka mimk
Ndio inavyotakiwa hivyo umuulize akikwambia hana kazi utaweza muhudumia
 
Eti mara ya mwisho kufanya mapenzi lini? au umelala na wanaume wangapi? Au unaishi na nani? Maswali kama tupo mahakamani we eleza shida yako mengine hayakuhusu damnit
Ok naomba nije pm nipate mawasiliano yako kama hutojali??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…