Swali gani hupendi kuulizwa?

Swali gani hupendi kuulizwa?

Kuna maswali mazuri tu kuyajibu,sasa kuna maswali mtu anakuuliza hata hayamuhusu ,mtu mmejuana siku mbili anataka ajue hadi majina ya watoto,mpo wangapi kwenu!!?kaa!!
Unakunywa pombe ?
Mara ya mwisho kufanya mapenzi lini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una wanaume wangapi(bora msiwe mnauliza tu
 
Eti mara ya mwisho kufanya mapenzi lini? au umelala na wanaume wangapi? Au unaishi na nani? Maswali kama tupo mahakamani we eleza shida yako mengine hayakuhusu damnit
Ok naomba nije pm nipate mawasiliano yako kama hutojali??
 
Back
Top Bottom