Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
amekuuliza wewe connor1Unamuuliza nani sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amekuuliza wewe connor1Unamuuliza nani sasa
Eee kuna hili siku hizi wanalipenda kweli unafanya kazi gani?unasoma?Unaishi na nani??? Yan sipendi kabsa kuulzwa hvo
U're missedEti mara ya mwisho kufanya mapenzi lini? au umelala na wanaume wangapi? Au unaishi na nani? Maswali kama tupo mahakamani we eleza shida yako mengine hayakuhusu damnit
U're missed
U're missed
Umeshiba..?[emoji34] [emoji34]Swali gan usilopenda mtu akuulze na akikuuliza anakukeraa??
Halaf wanakuuliza kama vile wana msaadaEee kuna hili siku hizi wanalipenda kweli unafanya kazi gani?unasoma?
Yaan utafikiri wanataka kukuajiri,mi kuna wakaka wawili wananipenda hawaniulizi kuhusu kazi nafanya hawahitaji kazi yangu wananitaka mimkHalaf wanakuuliza kama vile wana msaada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeoa sipendi kuulizwa hili swali
Ndio inavyotakiwa hivyo umuulize akikwambia hana kazi utaweza muhudumiaYaan utafikiri wanataka kukuajiri,mi kuna wakaka wawili wananipenda hawaniulizi kuhusu kazi nafanya hawahitaji kazi yangu wananitaka mimk
ShangaaaaNdio inavyotakiwa hivyo umuulize akikwambia hana kazi utaweza muhudumia
Ok naomba nije pm nipate mawasiliano yako kama hutojali??Eti mara ya mwisho kufanya mapenzi lini? au umelala na wanaume wangapi? Au unaishi na nani? Maswali kama tupo mahakamani we eleza shida yako mengine hayakuhusu damnit