kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
pamoja sana huwa nawajibu sina kabilaKabila & Dini
Huwa sipendi kuulizwa kabila na dini
Mkuu ID yako imenikumbusha "Addicted (2014)"Au unapenda kuulizwa,UMEOLEWA??
hapana sijamwaga ndani nimesukuma ndaniUmemwaga ndani?π
Sikuhizi unafanya kazi wapiHABARI
kama mada inavyo sema hapo juu ni swali gani ambalo ukiulizwa labda linakupa hasira au lina kuwa lime kutoa kwenye mood,
SWALI LA AINA YOYOTE ILE.
Mfano kama mimi;
1: Sipendi mtu aniulize personal issue zangu huwa na change ghafla.
2: Kuniambia saizi naona una pesa huwa nachukia sana
3: Hivi unakunywaga pombe? (na ananiona niko bar)
4: Mademu wako hawajambo (wakati unakuta niko single)
5: Wewe kabila gani?
HEBU FUNGUKA NA WEWE.