Swali Gomvi: Korona 2.0 kwani Rais Magufuli ni mbia wa maisha yenu?

Mwanzo unasema... "sijasoma hadi huko mwisho wa bandiko refu"... Lakini kwenye point na. 5 unasema mwisho amesema..... Sasa ikiwa wewe mwenyewe unajidanganya (halafu kwa akili yako unadhani unatudanganya sisi), nani atakayekyamini hapa??
 
Kuna wengine wanamuona ni mungu kabisa.
 
Ninachoamini ni kwamba ikitokea Corona umechanganya (Mola apishie mbali) watu wakaanza kudondoka kila kona, watu watajifungia wenyewe bila shuruti...
Uko sawa kabisa, Mimi wasiwasi wangu ni uwezo wa Mwananchi kumudu kula yake ya kila siku akiwa locked ndani.

Watanzania wengi wetu ni maskini Sana, ukitaka kujua hili Jaribu kuwa na shida ya 20M hivi then jaribu kuwapigia jamaa wakukope. Unaweza kuta unatafuta na usipate, hadi uende Benki kukopa.

Sasa vipi wale wa kule vijijini ambao unakuta wanategemea kilimo wavune ndiyo wale.

Kwa kweli Mungu atusaidie
 
"Watanzania ni matajiri sana na tunapaswa kutembea vifua mbele" In Magu voice [emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo ilikuwa ni kauli ya Kisiasa tu, hakuna lolote. Watanzania ni Maskini wa Kutupwa.

Ikitokea tumefanya lockdown tu, basi wapo Watanzania ambao watachinja hadi Paka/Mbwa kula.

Nimewahi kuhadithiwa kuwa wakati wa Vita ya Kagera Watanzania walikuwa Wanatumia sijui majani gani kufulia nguo badala ya Sabuni.

Ikija hiyo lockdown sipati picha 🙆
 
Yes that is fine, ulichoacha ni hiki:
Angekuwa JK (Kikwete) anasema maneno kama anayosema Magufuli; ingekuwa kinyume kabisa kwa comment zako. Ungeaapiza mengi sana. Ushabiki ni kweli huwa haujifichi. Hata Udini na Ukabila. Mambo yale yale aliyafanya KIKWETE anayafanya Magufuli, mnasema ati sawa kabisa. Hypocricy never hide. Ukweli ni kuwa Corona ikichachamaa hapa mtakuja na sabbabu nyingine, na wa Tanzania washazoea kudanganywa, watalia watasahau
 
Wewe nawe anti-vaxxer kama Magufuli?

Magufuli akiwaambia watu wajipige risasi utasema sio mbia wa maisha yao au utasema he is abdicating his responsibility in a criminally responsible way?
 
Mwanzo unasema... "sijasoma hadi huko mwisho wa bandiko refu"... Lakini kwenye point na. 5 unasema mwisho amesema..... Sasa ikiwa wewe mwenyewe unajidanganya (halafu kwa akili yako unadhani unatudanganya sisi), nani atakayekyamini hapa??
Hiyo "mwisho" umeelewa maana yake?
Maana yake ni kwamba namalizia ninayoandika katika kipande hicho nilichoki'quote'. Hopeless kabisa!

Lakini nikuulize. Kakutuma uje hapa kutetea aliyoandika?
 
PLEASE SEND THIS MSG TWICE TO ANY GROUP. ONCE TODAY AND ONCE TOMORROW.


Important Message for all

The hot water you
drink is good for your throat.

But this corona
virus is hidden behind the
paranasal sinus of your nose for 3 to 4 days.

The hot water we
drink does not reach there.

After 4 to 5 days
this virus that
was hidden behind the
paranasal sinus reaches your lungs.

Then you have trouble breathing.

That's why it is very important to take steam,

which reaches the
back of your paranasal sinus.

You have to kill this
virus in the nose with steam.

At 50°C, this virus becomes disabled i.e. paralyzed.

At 60°C this virus
becomes so weak that any
human immunity
system can fight against it.

At 70°C this virus dies completely.

This is what steam does.

The entire public
health department knows this.

But everyone wants to take
advantage of this pandemic.

So they don't share this information openly.

One who stays at home should take steam once a day.

If you go to the market to buy
vegetables,
take it twice a day.

Anyone who meets
some people or goes to office
should take steam 3 times a day.

Steam week

According to doctors,
Covid -19 can be killed by
inhaling steam from the nose and mouth,
eliminating the Coronavirus.

If all the people
started a steam drive campaign for a week,

the pandemic will soon end.

So here is a suggestion:

* Start the process for a week from
morning and evening, for
just 5 minutes
each time,
to inhale steam.

If we all adopt this practice for a week the deadly

Covid-19 will be erased.

This practice has no side effects either.

So please send this message to all your relatives,
friends and neighbours,
so that we all can kill this
corona virus together and live and walk freely
in this beautiful world.

Thank you
 
Unataka tu tuendeleze majibishano yasiyokuwa na tija.

Hao wanaoitaka wataipata wapi iwapo mwenye nchi yake kaikataa?
Mbona mkuu amesha kuambia, wale wa kwenda wameenda na baada ya kuchanjwa walikokwenda wamerudi na covid21( waliikwepa covid19).
 
Umesema unaandika kama shabiki wa Magufuli , huku ukijifanya hukuegesha akili yako mahali , hapa unadanganya , Wizara ya afya ambayo iko chini ya Serikali ya magufuli ndio yenye dhamana ya kutoa mwongozo kuhusu corona , kuitenga kwenye kampeni hii ni kujaribu kuunga mkono ujinga .

Nchini Tanzania yametolewa matangazo ya kudhibiti na kuwachukulia hatua wale wote wanaosambaza taarifa za corona , hii imetolewa na TCRA , kama watu wanaweza kujiamlia kuchukua hatua za kudhibiti corona hivyo vitisho vinatoka wapi ?

Hata hivyo kwa taarifa yako wewe Mzee Mwanakijiji na Mataga wengine wanaothamini matumbo yao kupitia serikali ya awamu hii na kusifia kila ushuzi ili kujikimu , hakuna kipindi ambapo viongozi wa Tanzania wamedharauliwa na wananchi kama kipindi hiki cha corona
 
Sawa mkuu ila mimi naamanisha hawa viongozi wetu ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…