Doyi
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 1,578
- 1,894
ha ha hahapa utapigwa mawe sio tu na ma ethiest but hata wenye dini bro,ipo hiv maigizo ni mengi mno watu wanajifanya mazombi wana mapepo kisha wanajifanya kuombewa na kuanguka et ndo mapepo yametoka,pia kama ni kweli watu wanaombewa wanapona mbona hao manabii hawaendi mahospitalini wawakute wagonjwa walio siriaz?? video unaziona kabisa watu wanakiri kupangwa ili kujifanya wannaugua na kupona..mmoja alijisahau na kumwambia muombewaji eti "piga kelele"akimkumbusha yule mwombewaji apige kelele kuashiria kuanguka mapepo maana ni kama alijisahau kupiga kelele...😁😁😁...sikatai watu wanaumwa sana tena saanaa ilakanuni za kuyatenda hayo mnayodhani mnayaweza ni ngumu mno na yana taratibu zake...mchungaji au shehe anayeombea yatakiwa awe msafi katika ukimwengu wa roho lakin walio wengi ni washenzi na hawana huo uwezo hata wa kukemea nzi.imani za watu hatupaswi kuzibeza ila shetan anayekemewa huko kwenye nyumba za ibada nae wala haangaiki na nyie anawaona kama viazi fulani..ana nguvu nyingi mno kumshinda au kumkemea sio masihara.